JINSI YA KUZAMA NDANI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23-03-2023
Фильм және анимация
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Пікірлер: 144
Since I knew this man, my life has never been the same.
@user-tt6vx6ly3k
3 ай бұрын
Same to me here ,my life changed
@noahmfinanga507
3 ай бұрын
Me too
Naamini sijachelewa Kwa Mungu hamna umbali ,na Kwa kusikia kwangu kupitia mtumishi wake wa Mungu Mukabwa atanisikia ,najiungamanisha moyo wangu na Imani yako Kwa Mungu wako masomo unayonifundisha yatazaa matunda hai.
@zenamgalula2828
2 ай бұрын
Amen
@PeterYohana-n4x
13 күн бұрын
Amen kwakweri hyu bba mungu amwinue anatumia neno la mungu kusaidia maisha yetu
Ahsante sana mtumishi kwa hili somo umenipeleka mbali sana’ utukufu na sifa nivyako muumba wa mbingu na nchi
Ameeen I receive my new season in jesus Name
Maneno unayo fundisha yananiinuwa kiimani barikiwa sana mtumishi wa Mungu Past George
Amina mtumishi nakuelewa sana mungu akuinue viwango
wonderful scripture...love the spirit
Emeeeeeeen mungu akuzunguke na wingu lake ubarikiwe sana umenijaza. Imani mahubiri yako. Niya kiroho na hekima nakusukiza sana KZread unanibadilisha mungu wa Amani awe pamoja nawe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗mm nko Kenya mombasa
Mchungaji kwa kweli neno lililo ndani Yako unanienua, unanibariki,unachochea Imani yangu mungu akusidishie uzidi kuwa bariki wengi
A great insight, and a sober word... Thanks mchungaji. I just bumped into this, and am glad of the deposit, God has put in you... God bless you and God bless his work....
Asante kwa neno, unanibariki sana! Amen 🙏🙏 # Kenya
Najifunza vitu kwako Mungu akubariki
Huyu mtumishi ana neema ya kufundisha na ukaelewa ,,, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@user-nb4ms2vw8c
8 ай бұрын
This man is of another level...his teachings are deep and very encouraging.i wish to know which part of Kenya is he in ❤
@dorothyshiyyo3370
5 ай бұрын
Napenda sana mafundisho yake Amenifundisha sana. Mungu akubariki sana azidi kukupa mafunuo.
@user-tt6vx6ly3k
3 ай бұрын
Powerful teaching.Asante Mungu
@user-rh7sb4lo9k
3 ай бұрын
Kweli kabisaa hey mtu anaelewa vizuri.yaani his words are simple and clear with reference from the bible
@mungajoas3343
2 ай бұрын
Moja ya kati ya Watu ambao Mungu anawatumia Kwa Viwango vya juu sana, na Hana mambo ya mashindano wala mutoto kubishana mitandaoni
MWENYEZI MUNGU akubariki kwa mafundisho ❤❤❤❤❤
God bless you servant of God.
Aminaaaaa aminaaaaa
Ameni
Tangu nianze kushikiliza this man of God my life has changed.may God add him more power he is a good teacher of the word of God.Abarkiwe.
Following from qatar doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@user-jl7si8rg8w
4 ай бұрын
Shalom shalom shalom 🎉
@user-jl7si8rg8w
4 ай бұрын
Shalom shalom shalom 🎉
Barikiwa sana na mafundisho ya mtumishi George Barikiwa Baba
Uniombe pastor juu ya. ndoa yangu mungu anfungue njia zangu .kwajina la yesu Kristo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Baba hapa Pana message yangu kumbe
Amen amen amen 🙏
Sanaaaa ,ana kitu kizuri cha ualimu mnoo
Baba badirisha majira yangu adui asiyaherewe katika jina la Yesu naomba na kuamini,Amina.
@anastaziamosile3181
Жыл бұрын
Ameeen!nabarikiwa sana na mahubiri ya huyu Baba!
@harrieteucabeth1819
Жыл бұрын
Amen
Thank you poster
Nabarikiwa sana na mafundisho yako.Mungu aendelee kukubariki
🎉cHaleluya Mungu akubariki kwa somo hili la faida kubwa kwa watumishi wa Mungu
Unanibarki mtumishi mungu azidi kunipa jitihada ya kutafuta kibali cha mungu maishani mwangu amina
Ameen Glory Glory to God
Yesu ndiye njia ya kweli
Be blessed man of God your so powerful in the world of God yani nimejashwa na roho
Your righte sevant of God
Kwakweli MUNGU ANAKUTUMIA VYEMA asaante baba nakuelewa Ameeni.
Mungu akubark baba hakik nimejfunza mengi ktok kwaki
Kwakweli mutumishi wa Mungu ubarikiwe, hakika nimeongezewa kiroho
Mafundisho yako pastor imenibadilisha kutoka mbali sana.mungu aendele kukumbariki katika juna la yesu
Napenda sana mafundisho yako mtu wamungu ubarikiye sana
Amen Amen
Tunamshukuru Mungu ajili ya ufunuo mkubwa kwa Mtumishi wa Mungu, Tuendelee kumwombea aendelee kumtii Roho mtakatifu na kunyenyekea Ili azidi kulifaa kanisa la Muñgu, hakija ana Neno yaani "Rhema"
Amen..... Sijui nilichelewa wapi kukufuatilia mtumishi, barikiwa sana
Nitazama katika Bwana adui hata nikalili
Powerful
Mungu akuinue baba
Amina
Mungu akuinue pasta🎉
Mungu akubariki sana sana. Mungu amenitendeee maaajabu baada ya kufuata mafunsisho yako. Nimezama nimemuona Mungu.
Amen pastor neno lako lanitia nguvu
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ameéeen !!!Past
Hakika unafundisha vyema ubarikiwe sana
Nikubali Kwa mafundisho ya neno la MUNGu akubariki Kwa kazi yake
Asante baba
Mchungaji Mungu akubariki sana
Toka siku ya kwanza namsikia nakufuata mafundisho yako naona mabadiliko ya kiimani kwangu kila siku. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu.
Amen
Asante sana kwa kutufungua pale tulikuwa hatuwezi kuona. Amen
Ubarikiwe pasta
A.mina mwalimu wa kweli
Asante kwa neno mtumishi wa Mungu Barkikiwa
Mungu aendelee kukutumia mtumishi wa Mungu. Umekuwa msaada wa wengi
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
Ameen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe sana mtumishi mafundisho yako yamenitoa sehemu
YESU nijalie nemaa na Imani kwa neno lako mtumishi barikiwa Sana kwa kunifungua akili
MUNGU akubariki pastor
You are my pastor from today.
A men amen❤
Asante kwa mafundisho mazuri
Ubarikiwe Baba Mungu Akubariki sana
Yesu nipee Roho ya ufahamu wa majira yangu
Mungu akupe miaka mingi maana nabarikiwa Kwa neno
M naishi daa, ila namuomba Mungu anipe kibali nifike kwake butimba mwanza nikakutane naye macho kwa macho maana amenifundisha vitu vizito sana, Mungu ambariki sanaaa, 😊
Ahsante sana
Mtumishi wa Mungu huyu anafumdisha neno aungu jmn
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤❤
We schooled with you in the 80s....
Amen amen 🙏🙏mtumishi wa mungu ubarikiwe sana sana
Amen and Amen pastor George
NampendaYesu aliye nionyesha wewe
Mungu akuinue zaidi
Mchungaji km inawezekana njoo ulishe na sehemu nyingine usiangalie zizi moja
Powerful 🙌🙌🙌🙌
Ehe mungu wangu naomba unisaidie nisikuache
Nimempenda mpaka nimetamani angekuwa mchungaji wangu lkn alipo na mimi nilipo ni mbali ila nitamfuatilia kwa njia ya youtube
God bless you man of God
Mungu anifungue Zaid kupotia huduma hii
Barikiwa mtumishi
Yesu nipee roho ya ufahamu wa majira yangu Amen. Pastor
Kuishikaribu.nawewe.nifaida.barikiwa.mutumishi
Amina Mtu wa Mungu 🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe mchungaji
Saaana saaana baba ni kweli kabisa!
Bw akutunze kukuinua baba
Mungu akutende mtumishi weniwaukweli
Mungu nisaidie
❤❤❤🎉🎉🎉
AMEN PASTOR
Amen 🙏
🙏