Huyu ndiye Prophet Lovy Longomba, mpwa wa Awilo, alinunua kanisa lake la Marekani kwa TZS Bilioni 22

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va84VbJ0AgW8OU3DKH19
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
simulizinasauti
simulizinasauti
simulizinasauti
www.tiktok.com/@simulizinasauti

Пікірлер: 387

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah33846 ай бұрын

    Mungu mm ni mwenye dhambi, nisaidie Mungu wangu 👐👐

  • @prestonkenyaofficial
    @prestonkenyaofficial6 ай бұрын

    Dude has been nominated for Grammy as the best producer. LOVY IS BLESSED

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo75677 ай бұрын

    Njia za Mungu kamwe HAZICHUNGUZIKI.Do not comment negatively for something you do not know for sure😢😢

  • @johnjackson9665
    @johnjackson96656 ай бұрын

    Papaa Lovy my prophet since I saw you preaching in Tanzania on the night of wonder you are the wonderfully anointed Prophet gether with our Papaa Java, Iam now make a follow up on your page insta and you tube, I learn a lot the word of Lord Jesús through your preching

  • @evelinadodie9443
    @evelinadodie94437 ай бұрын

    Dunia iko mbali Mungu atupe macho ya kuona mbali

  • @mikkello3590
    @mikkello35906 ай бұрын

    All these servants of God have the same encounter that leads them to serve God. They all encounter Jesus one on one

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk7 ай бұрын

    Ok,Longombas two bro who had good vibes in their music chemistry but they work hard but Kenya was there base foundation.God is great

  • @abelsimfukwe8404
    @abelsimfukwe84047 ай бұрын

    Yes pastor LOVY GOD BLESS YOU MORE THAN MORE

  • @kimah9855
    @kimah98557 ай бұрын

    Lovy na Christian tunajua😂😂😂❤️Sasa hana bro yake 😢It’s good to see Sasa ni mtu wa Mungu ❤❤❤

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk7 ай бұрын

    Thank I've seen them performing live in Kenya at mombasa show grounds as curtains riser for Mr Nice #Fagilia bongo and that time Mr Nice ndio kusema but look now #Lovy Longombas God has lifted him up to better the world.

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha59057 ай бұрын

    Utajiri na eshima viko kwa mungu 😍

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv6 ай бұрын

    Hallelujah 🙏 Men of God ❤❤❤

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael72967 ай бұрын

    Mwenye sikio na asikie ...Manabii wa uongo wamekuwapo Mathayo 24:24 na utawagundua kwa matendo yao mionekano yao Yakobo 2:26 ...ila tuwe makini na haya matamasha mnauzwa nafsi zenu mnaposhiriki madhabahu ya haw manabii ...

  • @ProphetRomly

    @ProphetRomly

    7 ай бұрын

    Mungu asipowaokoa wewe waweza? Lini ushawahi waombea hao unaodhani wamepotea? Je, Ushawahi kufunga kumuombea mtu yeyote mbali na ndugu zako? Kama niliyoyasema jawabu ni hapana basi utubu na uanze kumtafuta Mungu Nawewe ukahubiri maana wote tumeagizwa kueneza habari Njema.

  • @clouartmichael7296

    @clouartmichael7296

    7 ай бұрын

    @@ProphetRomly1 Wakorinto 14:33 Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.

  • @irakozesania1680
    @irakozesania16807 ай бұрын

    Mungu ni mukubwa

  • @dianafinnes3248
    @dianafinnes32487 ай бұрын

    I honour the Annointing on you ,Papa Lovy,GodBless you 🙏🏽

  • @janenandi4095
    @janenandi40957 ай бұрын

    PROPHETIC Word FEARLESS Preacher UK 🇬🇧 IM IN AGREEMENT WITH YOU U PAPA LOVY : BLESSINGS ARE ONLY FROM GOD ; 👀 POA ; F FOREVER REMAIN BLESSED ; FOR THE MOUTH 👄 OF THE LORD HAS Spoken NO OTHERWISE ; IIM GLAD WE SPEAK 🗣️ SPEAK language AND FROM SAME COUNTRY ; I LOVE ❤️ KENYA 🇰🇪 KARIBU HOME 🏠🙏🏼❤️

  • @kipleedy
    @kipleedy5 ай бұрын

    Life is spiritual, kafara hutolewa... wachache sana wataelewa nilivyo sema.

  • @silviasaleh4667
    @silviasaleh46677 ай бұрын

    Lord have mercy, kanisa Lao nilagarama which it's not a lie but.....aprophet knows all his neighbors that's a good one.

  • @stephenmwanzake
    @stephenmwanzake7 ай бұрын

    ❤Nampenda sana Pops. Jamaa amenyenyekea sana kutumiwa na Mungu, Jehovah ahimidiwe kwa hilo jambo. Maneno yananiishia, machozi ndo mengi, Ya furaha na kumshukuru Yeova

  • @adaboychibu1659

    @adaboychibu1659

    7 ай бұрын

    😂😂pole sana

  • @sosbrayantbenjamin9701

    @sosbrayantbenjamin9701

    7 ай бұрын

    ​@@adaboychibu1659kwakwel mpe pole😂

  • @KassimAlly-xp4dz

    @KassimAlly-xp4dz

    7 ай бұрын

    Unaota ndugu amka

  • @KhojaNasri
    @KhojaNasri7 ай бұрын

    Nashukuru Mungu kuzaliwa muislam

  • @Nature-loverss

    @Nature-loverss

    7 ай бұрын

    Pole sana

  • @MujuniKamugisha
    @MujuniKamugisha7 ай бұрын

    Dunia hii maprophet kila kona watu wanadanganywa kwa sababu wamekosa maarifa Wakristo tafuteni sana kujua neno

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz

    @TabiaMwaisumo-ss7pz

    7 ай бұрын

    Tupe hilo neno tulijue lkn kama huna neno acha maneno luka 6:37 itakusaidia sana kuchunga kinywa chko

  • @francisprot5586

    @francisprot5586

    7 ай бұрын

    Toa sababu na evidence, usiongee usivyo vijua. Be +ve

  • @Elllllllllllly

    @Elllllllllllly

    7 ай бұрын

    Neno linasemaje??

  • @carolinederi5690

    @carolinederi5690

    7 ай бұрын

    ​@@TabiaMwaisumo-ss7pzZidi kusoma neno hyo verse moja haiezi kukisaidia coz hawa si watumishi wa Mungu wa kweli Yesu alichkiwa sana ukiona mtumishi yuapendwa jua ni wale kondoo ndan ya mbwamwitu

  • @user-pq2vt8yz6p
    @user-pq2vt8yz6p6 ай бұрын

    Wateule tuwe macho ni siku za mwisho,neno la Mungu linasema mtawatambua kwa matendo yao.Si kila mtu asemaye Bwana Bwana ataingia katika ufalme wa Mungu.

  • @contentprince9198
    @contentprince91987 ай бұрын

    Tutakuwepo sisi tuliobarikiwa n Mungu

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher0727 ай бұрын

    Ivi na wewe mtangazaji unaamini kuwa hawa ni watumishi wa Mungu,ivi mnadhani mbinguni ni rahisi ivo kufika Mungu atusaidie sana😢😢

  • @florazacharia5982

    @florazacharia5982

    7 ай бұрын

    Uwi we ndo hujui embu Kaa sikiliza mafundisho ya Prophet Lovy..afu muombe Mungu akuoneshe kweli yote. Mungu sio Mungu wa ma suti tu.. unawaza tattoo. Izo alichora kabla hajampokea Yesu. Ata waovu Yesu anawatafuta ukumbuke kesi ya Mtume Paul

  • @thescop1003

    @thescop1003

    7 ай бұрын

    We nani alikuambia ni ngumu, mnajudge watu mionekano utafkili mlishaenda mkaongea na mungu mkarudi

  • @stainlesseducators699

    @stainlesseducators699

    7 ай бұрын

    Acha uongo nani kakwambia ni ngumu? Mtu kwenda kwa baba yake ugumu upo wapi. Kama Mungu sio baba yako kweli itakuwa ngumu.

  • @viktamade

    @viktamade

    7 ай бұрын

    ​@@florazacharia5982 tattoo alichora muda sio mrefu wakati ameshaanzq huduma

  • @betty_900

    @betty_900

    6 ай бұрын

    😂huezi elewa

  • @stevewanga957
    @stevewanga9577 ай бұрын

    Yesu sura. Yake iko aje msanii ni msanii tu

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael72967 ай бұрын

    Watoto wa Mungu jihadharini hizi ni nyakati za mwisho na kwa promotion zao huwa ni kubwa kwan Ibilisi hutumia nguvu ya media sana ila tusome Biblia ,Neno ni Kristo mwenyew Kwa Roho wake atawajulisha ukweli ..nuru na giza hazina hushitika 2 Wakorinto 6:14 ,1 Yohane 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Leo hii imani ya rasta ya jamaica imaingia kwa manabii wa kanisani kwa kupotosha watu kwa kuibadili injili ya Kristo kwa kusema Samson alikuw na rasta wakati Samson alikuw na nywele ndefu na Mungu alitak kuonyesha utukufu wake pale kwenye nywele ya Samson...

  • @DavisMubake

    @DavisMubake

    7 ай бұрын

    Niambie kwenye Biblia imeandikwa wapi mtu lazima akate nywele?

  • @CelestinMvungi

    @CelestinMvungi

    7 ай бұрын

    Unampa ukubwa shetani kuliko Mungu. Don't you know that God work with those u don't even xpect

  • @clouartmichael7296

    @clouartmichael7296

    7 ай бұрын

    @@DavisMubake mm sijasema habari ya kukata nywele ,rudia Tena kusoma vizuri ujumbe wa Mungu pia Mungu wetu sio machafuko kwa maana ya kubishana 1 Wakorinto 14:33 Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.

  • @clouartmichael7296

    @clouartmichael7296

    7 ай бұрын

    Baba wa Mbinguni Hana ushirika na miungu mingine Soma Neno hapo 1 Wakorinto 6:14...hata watumishi wake aliowaokoa huwatumia ktk utukufu wake Kwa Mavazi ndio maana anasema vaeni nguo za adabu ,hasa sasa Mitume,manabii,waalimu,wainjilisti ,wachungaji ,maaskofu, hawezi kuwatumia katika mionekano ya kidunia maan Yeye anasema mssifatishe namna ya Dunia hii Warumi 12:2 ,1 Petro 3:3 ,pia hata mionekano ya nywele Yakobo 2:16 Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa...hizi ni Nyakati za mwisho wapo wengi wanakuja hata watakaovaa heleni na wewe utakuja kusema Mungu anamtumia mtu yoyote yule ...upo sahihi lakini sio Kwa watumishi wake aliowateua kumhubiri maana Yeye mwenyewe anakataza wanaume kuwa na mionekano ya Wana wa Ulimwengu huu kuwa makini sana na Jitahidi kusoma Neno na Roho akuongoze maana tunaambiwa tuishi Kwa roho na sio kimwili

  • @CelestinMvungi

    @CelestinMvungi

    7 ай бұрын

    Hujasikiliza mafundisho yao, ila umewahukumu kwa mavazi yao Yohan mbatizaji alivaa na kula kama chizi na watu wote walimwona hvyo je ingekua leo si ungesema dini imeingiliwa. Kuna nabii wa Mungu pia alihubiri uchi kwa miaka 3 je huyo pia hakutumwa na Mungu. Yesu alisema hata msipomwamini yeye basi aminini kazi zake watu wanapona na mapepo yanatii je hao hawaponyi watu, mapepo hayatoki. Utasema wanatumia nguvu za giza ila Yesu alijibu swali hilo akisema ufalme uliogawanyika je si utaanguka wenyewe. So stop pointing fingers by judging things of the spirit with your mind.

  • @joshuamuro9494
    @joshuamuro94947 ай бұрын

    Kafanana sana na AWILO MWENYEWE anzia kichwa mwili hadi sura

  • @timetravellor5367
    @timetravellor53677 ай бұрын

    Duh ukristo umekuwa usanii na watu Wana sapoti

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat46947 ай бұрын

    Dah🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis7 ай бұрын

    He is also a Kenyan Music Legend. Group yake na kake ilikua moto 🔥 sana miaka hio ya nyuma

  • @michaelthobias9967

    @michaelthobias9967

    7 ай бұрын

    Sio wakenya hawana uhusiano na hiyo nchi isipokuwa wameishi Hawa jamaa ni wakongomani

  • @michaelthobias9967

    @michaelthobias9967

    7 ай бұрын

    Ukisema ni wakenya basi baba yake awilo longomba naye ni mkenya

  • @TheBossOdhis

    @TheBossOdhis

    7 ай бұрын

    @michaelthobias9967 wewe kwenda..he grew up in Kenya not Congo..you heard sky say ni Mkenya-Congo..Awilo ni mjomba wake..sio baba

  • @TheBossOdhis

    @TheBossOdhis

    7 ай бұрын

    @michaelthobias9967 shida iko wapi...wameishi Kenya so he is a Kenyan Music Legend..

  • @yasminoluoch169

    @yasminoluoch169

    7 ай бұрын

    ​@@michaelthobias9967b4 ujibu kitu skiza kwa makini sawa hawa ni half kenyas half Congo

  • @salvatoryngowi7233
    @salvatoryngowi72336 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @evemurugi3399
    @evemurugi33997 ай бұрын

    Wow we fallow each other tiktok and I didn't know he is a longomba

  • @noelyjonsi9741
    @noelyjonsi97417 ай бұрын

    Kabisaa

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde94297 ай бұрын

    Manabii wa upande wa pili,Sawa. Sio wa Yesu mnazareti.

  • @queennambeye1236
    @queennambeye12367 ай бұрын

    Lovy Longomba Mkubwa Amewai Kuishi Tanzania

  • @isamazatv.115
    @isamazatv.1157 ай бұрын

    Hahahha this is too much kabisa izi church nimajabu kabisa 😂😂😂😂😂

  • @AsmaAmeir
    @AsmaAmeir7 ай бұрын

    Duh bas nami nikimuona yesu tayar nakuwa nabii

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter24977 ай бұрын

    Welcome to TANZANIIA.. OUT Prophets we ❤❤❤uuu

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman7 ай бұрын

    God is my first one in my life

  • @EllyFredy
    @EllyFredy7 ай бұрын

    Mungu atusaidie nabii kavaa mpaka kipini 🙏🙏ee mungu shughulika na hawa watu wanaopoteza kondoo wako

  • @mjkazidi1265

    @mjkazidi1265

    7 ай бұрын

    Umeshasoma Biblia Historia ya Sauli alivyo waua wakristo baadae akawa Paulo....Mungu anaweza kumtumia mtu yoyote wakati wowote...Wengii wanadanganywa na muonekano wa mtu.

  • @farijala1

    @farijala1

    7 ай бұрын

    ​@@mjkazidi1265 Unajua Mtazamo wa Hivyo Ndio unaopelekea Ulimwengu Kila kukicha Unaangamia. Mema Hayatendi kiriho TU HADI muonekanoq

  • @barakaduma4888

    @barakaduma4888

    6 ай бұрын

    Koma

  • @user-mz3vu5jm5f
    @user-mz3vu5jm5f7 ай бұрын

    Mwisho wa Dunia akuna. Mtumishi wa mungu apo

  • @YustoMlay-cv4zb

    @YustoMlay-cv4zb

    7 ай бұрын

    Kabisa hao ni deval worshiper na uyo mwenyejiwao WA apa Tanzania

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    7 ай бұрын

    Nyie wapuuz wote mliokoment BWANA NA AWASAMEHE

  • @akajoza4043

    @akajoza4043

    7 ай бұрын

    Bwana yupi😂😂😂

  • @HansChuma

    @HansChuma

    7 ай бұрын

    @@Churchofecclesia em naww amka acha kulala naww huyo bwana unaemuongelea angekuepo apo angekucha vibao

  • @wenawenawena3647

    @wenawenawena3647

    7 ай бұрын

    Bwana which bwana where😂😂

  • @user-mk2bq6io1e
    @user-mk2bq6io1e7 ай бұрын

    Ehhhhh niatari Dunia

  • @rosebullens5155
    @rosebullens51557 ай бұрын

    Wawwwl wellbethere son of Godfromkenya

  • @elcharismaticohommeromanti748
    @elcharismaticohommeromanti7487 ай бұрын

    Akuna kipia apo, ila vipofu wa imani ndo wata a mini awo ma nabii wauongo

  • @danielyjarome9439

    @danielyjarome9439

    7 ай бұрын

    Hongera kwakuwa wewe ni mtakatifu uliye kamilika mwenye uwezo wa hata ya kutoa kasoro za wengine ila nakushauri tuu muda unaotumia kukosoa watu utumie muda huo kuchunguza maisha yako ya kiroho je uko sahihi ??

  • @veeJesus
    @veeJesus7 ай бұрын

    Uezi kumtumikia Mungu kiukweli ukwel ukawa maskini. Hawa watumishi kama wewe ni mchanga kiroho unaangalia kwa macho ya nyama huwezi waelewa😊.

  • @raphaelkaswahili323

    @raphaelkaswahili323

    7 ай бұрын

    Wewe ni mjinga kama wajinga wengine Paulo Petro Yohana mbona walikua maskini na walimtumikia Mungu kwa kiwango Cha juu zaidi na Bado wakabakia kua maskini why? Jitahidi kumjua Mungu Ili uyakwepe matapeli

  • @veeJesus

    @veeJesus

    7 ай бұрын

    @@raphaelkaswahili323 we ndo mjinga wa mwisho lakin sio kosa lako. Kitabu cha matendo kinasema katika wale mitume hakuna aliekua na uhitaji maana yake nini wote walikua matajiri kwendraaaaaa uko kasome bible uko unataka watu wawe maskini ili nink kitokee akati Mungu tunaemwabudu ndo ameumba vitu vyote tena kwa ajili ya watoto wake. We vipi bwana

  • @fahadfaraj6474

    @fahadfaraj6474

    7 ай бұрын

    Uwe tajiri? Ambae kuuona ufalme wa mbingu ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano, huyo yesu hakuna sehemu unaona yeye au watumishi wake wanajihusianisha na utajiri wa kidunia ila nyinyi tu watumishi wa kichaga na kiha ndio lazma muwe matajiri , amkeni nyie watoa sadaka mnaowapa watu utajiri nyie mkiwa hoi mnapanda daladala na vikwapa vinawanuka

  • @veeJesus

    @veeJesus

    7 ай бұрын

    @@fahadfaraj6474 weweeee tunakua matajiri kwa ajili ya Mungu. Tunakua matajiri kwa ajiri ya ufalme. Huezi kuhubiri injili bile fedha na nyie mnaosema utajiri ni dhambi wanafki wa kubwa kwa nini huwa mnaamka ahsubuh mnaenda kufanya kazi ili nini. Mungu alimtajirisha Abraham kwa nn afanye hivyo wakati ni dhambi. Abraham alikua tajiri mnoooooooo. Vipi kuhusu Solomon kaombwa hekima kajiziwa na utajiri juu yake. Vipi kuhusu Ayubu tajiriiiii haijawahi tokea na wako kwenye biblia na walimjua Mungu vibaya mno. Hiyo fikra ya kusema utajiri ni dhambi nikwambie tu ni ya kipepo ili uwe maskini na biblia inaandika hakuna kinyonge kitakachoingia kwenye ufalme wa Mungu. Kuna sehemu biblia inaandika Mimi ni Mungu nikupae nguvu za kupata UTAJIRI. MUNGU WETU NI TAJIRI NA WATOTO WAKE TUNATAKIWA KUWA KAMA BABA YETU SIO NYIE MNAJIFANYA WA KIROHO MKITOKA KUOMBA KANISANI MNAANZA KUOMBA LIFT ZA MAGARI. KUWA TAJIRI LAKINI UTAJIRI HUO NI KWA AJILI YA MUNGU. JENGA MAKANISA ENEZA INJILI TOA HELA YA MAKONGAMANO SAIDIA WAHITAJI NK

  • @Officialkeeler

    @Officialkeeler

    7 ай бұрын

    Kweli Kabisa umeongea point sana kama shetani anatajirisha kwann MUNGU asitajirishe watumishi wake

  • @meshack3266
    @meshack32667 ай бұрын

    Bhanaa eee asiye amini asi Amin na anae Amin na amini

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything7 ай бұрын

    ✌️👍👊.

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu70167 ай бұрын

    Alhamndulillah kuwa muislam mana haya mambo yaku nunuwa kanisa ikiwa yako na sikiaga tu kwa wenzetu 😢😢

  • @queenmollel6739

    @queenmollel6739

    7 ай бұрын

    Hahahaa yaani, ila hayana maana Cha muhimu ni kumpenda Mungu , muda mwingine pesa inaruhusu kama huna utanunua nini

  • @prosperreuben1724

    @prosperreuben1724

    7 ай бұрын

    Kwahiyo ile misikiti iliyopo kwenye masheli ni ya nani kama haimilikiwi na mtu binafs

  • @goddyffmarsacha259

    @goddyffmarsacha259

    7 ай бұрын

    Uislamu is a false religion

  • @minicooper9642

    @minicooper9642

    7 ай бұрын

    @@prosperreuben1724 huwezi kusikia hata siku moja msikiti ni wa mtu Misikiti yote ni ya M.Mungu

  • @minicooper9642

    @minicooper9642

    7 ай бұрын

    @@goddyffmarsacha259 mtu mwenyewe hujielewi sasa utauelewa Uislam Haya tambeni na mitume wenu marasta 😂😂😂

  • @michilita2959
    @michilita29597 ай бұрын

    Mmmmmmm jamani hela inatafutwa

  • @fayverenah
    @fayverenah7 ай бұрын

    How i wish picha za kina paul john na peter wote waliotembea na yesu mkaona muonekano wao😂i think those guys were looking more funny thsn prophet lovy longomba😂😂

  • @adriandanford208
    @adriandanford2087 ай бұрын

    Mungu ndiye anajua walio wake ,😂😂😂

  • @Odogwu9667
    @Odogwu96677 ай бұрын

    Bwana Yesu Asifiwe

  • @HabilyTech
    @HabilyTech7 ай бұрын

    Wahuni walioamua kujiita manabii

  • @fayverenah
    @fayverenah7 ай бұрын

    Mbona watu mko bitter na prophet lovy😂😂muonekano wake unawauma mbaya😂kama mnataka kumsikiza sawa kama hutaki pita ukienda😂😂😂

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi30227 ай бұрын

    Huyu hakumtoa broo wake kafara🤔Umaskini ni kitu kibaya sana lakini Mungu ndio anajua zaidi.Ukristo umekua biashara kubwa na biashara inayotajirisha rahisi sana,Muumini Maskini anazidi kua maakini na mchungaji anazidi kuwa Tajiri kisha anahubiri kua Tajiri itakua vigumu kuingia katika ufalme wa mbinguni na yeye ni Tajiri.

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki38127 ай бұрын

    Lovy is the genuine Prophet of God.

  • @KassimAlly-xp4dz

    @KassimAlly-xp4dz

    7 ай бұрын

    Ur dreaming wake up

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    7 ай бұрын

    ​@@KassimAlly-xp4dztulia ww hujui unachokiongea et ur dream stop foolishness

  • @minicooper9642

    @minicooper9642

    7 ай бұрын

    @@Churchofecclesia sasa wewe kwa akili yako hao wanaweza kua mitume wa Mungu? Hebu acheni kumtania M.Mungu nyie jamani

  • @sammotv6920

    @sammotv6920

    7 ай бұрын

    ​@@Churchofecclesiahuna akili amkaa ulipolalar

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    7 ай бұрын

    @@sammotv6920 wewe zako ndo uziamshe zakwetu zimeamka muda ndo maana tunasema cha ukweli, zako zimelala na zimetiwa giza kabisaa

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro53937 ай бұрын

    Ukristo una utatizo kweli

  • @edchrisbeatz8976
    @edchrisbeatz89767 ай бұрын

    mungu akikuita ufanye kaz yake lazma akubadilishe kwanza sasa huwa wavaa vipini na kusuka sijui imekuwaje!!? 😢 so sad gyz bora kujisomea maandiko mwenyewe kuliko kusomewa haya ndo madhara na hawa ndo wanasababisha ukristo uonekane wa hovyo stupid😡

  • @shamimushittindi1418

    @shamimushittindi1418

    7 ай бұрын

    Mavazi hayakupeleki popote dear

  • @luciasteven3314

    @luciasteven3314

    7 ай бұрын

    Kitendo cha kubadrishwa tabia sio cha sku wala wiki wala mwezi aliemuokoa ndio atambadr siku had siku plz kua mpole

  • @issazalala4907
    @issazalala49077 ай бұрын

    Daaah watumishi full Rasta mix tatuu😂

  • @leaherasto929
    @leaherasto9296 ай бұрын

    Prophet Lovy anafundisha mafundisho mazuri sana

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii7 ай бұрын

    Sadaka za bwana muhimu sana

  • @africa7479
    @africa74797 ай бұрын

    eee kanisa linanunuliwa ?

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw7 ай бұрын

    Msiiwa ite watumishi wa Mungu kwakuwa mnachafua Imani ya ukristo hawa waabudu shetani kabisa aslimia miamoja

  • @danielyjarome9439

    @danielyjarome9439

    7 ай бұрын

    Hongera kwakuwa wewe ni mtakatifu uliye kamilika mwenye uwezo wa hata ya kutoa kasoro za wengine ila nakushauri tuu muda unaotumia kukosoa watu utumie muda huo kuchunguza maisha yako ya kiroho je uko sahihi ??

  • @jayspermlewa7425
    @jayspermlewa74257 ай бұрын

    Wacheza porn wanaweka vipin puani na wanamatatuuu na ww mchungaj unaweka sasa nn tofaut yake na hao wahuni damn it this is shame as Christianity😢

  • @danielyjarome9439

    @danielyjarome9439

    7 ай бұрын

    wewe chunga maisha yako ya kiroho je uko sahihi ??????? na njia zako pia sije siku ya kiama ikafika wale ulioona wakosaji kumbe ndio wako sasa na wewe umejaa dhambi. Muombe MUNGU akusaidia kuishi maisha matakatifu sio kukosoa watu wengine.

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter24977 ай бұрын

    And u know KISWAHILI 😂😂❤❤🎉🎉🎉

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya74757 ай бұрын

    Prophet Tb Joshua japo ni Muslim ILa namsikiliz kila siku ndio namwamin

  • @jamaldeenmakenga

    @jamaldeenmakenga

    7 ай бұрын

    Prophet Tb Joshua, A freemasonry agent!!! What are you talking about?

  • @Dranka186
    @Dranka1867 ай бұрын

    Kwa wenye akili 😮😮😮

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku34497 ай бұрын

    Maskini kondoo wa mungu wanazidi kupotea 😢😢😢😢

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    7 ай бұрын

    Mmoja wapo n wewe usiejielewa

  • @Churchofecclesia

    @Churchofecclesia

    7 ай бұрын

    Mmoja wapo n wewe usiejielewa

  • @abdulrahmankafuku3449

    @abdulrahmankafuku3449

    7 ай бұрын

    @@Churchofecclesia Mathayo 24:24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. Mathayo 24:25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. Mathayo 24:26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. Mathayo 24:27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

  • @abdulrahmankafuku3449

    @abdulrahmankafuku3449

    7 ай бұрын

    @@Churchofecclesia Soma brother usipoteee kwa kukosa maarifaa

  • @salmabinyaga2357

    @salmabinyaga2357

    7 ай бұрын

    ​@@Churchofecclesiawe ndo hujielewi kenge wee

  • @MAMA_KIAN
    @MAMA_KIAN7 ай бұрын

    ❤❤❤❤

  • @MAMA_KIAN
    @MAMA_KIAN7 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Officialkeeler
    @Officialkeeler7 ай бұрын

    Namuelewa sana huyu Jamaa

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc7 ай бұрын

    Mtumishi kavaa kipini puuan ni jambo jema haya sawa sina lakusema zaidi only God can judge his servants

  • @MAMA_KIAN
    @MAMA_KIAN7 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤

  • @adriandanford208
    @adriandanford2087 ай бұрын

    Ukimwengu wa giza unapambana saana kuvuna nafsi za watu kuzipeleka kuzim

  • @happnesskatandula4189
    @happnesskatandula41897 ай бұрын

    I was there yesterday airport nikiwapokea nitaman nimguse Prof anibariki

  • @lakhaly19

    @lakhaly19

    7 ай бұрын

    Akubariki kwan yeye ni mungu?

  • @subirahowen124

    @subirahowen124

    7 ай бұрын

    😂😂 kazi ipo

  • @cmoshi7014
    @cmoshi70147 ай бұрын

    WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA. 😭😭😭😭😭😭😭

  • @DannyScorp-zq1sp

    @DannyScorp-zq1sp

    7 ай бұрын

    polee tunakuombea upate maarifa

  • @cmoshi7014

    @cmoshi7014

    6 ай бұрын

    Nakuombea wewe umtafute Yesu mwenyewe maana anapatikana ili uione mbingu. Yesu Anarudi nyie shobokeeni tu sijui nabii, mtume tutawaacha. Mtafute Mungu peke yako. Ubarikiwe

  • @Mikael-xh4cp
    @Mikael-xh4cp7 ай бұрын

    Hii ndio kitu inazidi kunidhihirishia kuwa europeans are very smart and will not tolerate such nonsense , vitu kama hivi havitokei huku because no one will tolerate everyone is busy hustling

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc7 ай бұрын

    Naknaga clip zake insta maneno mazur lkn jins alivyo sio ushuhuda kabsa pengne aliachana na mamb ya dunia ndy akaokoka tusimbeze

  • @haridimpelengana1246

    @haridimpelengana1246

    7 ай бұрын

    Yesu akikuokoa anakubadilisha. Bado ana matendo na tabia za kiibilisi. Kuna roho nyingine iko ndani yake. I assume LGBT wako nyuma yake

  • @Kabwela776
    @Kabwela7766 ай бұрын

    Ukiwa mwongo ni rahisi kuwa tajiri njoo na uongo wako leo umetokewa na Yesu anzisha kabisa bas umasikini umeuaga

  • @drsilo
    @drsilo7 ай бұрын

    Ukiristo bn eti kanisa ni hali ndo inahusiana je na uunguu

  • @francisprot5586
    @francisprot55867 ай бұрын

    Tunaomba na ya Java

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi96337 ай бұрын

    😅😅😂😂😂😂😂

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_7 ай бұрын

    Tuwaombee kwa mungu hawa manabii wa uwongo kwakwer

  • @badymedia9648
    @badymedia96487 ай бұрын

    biashara ya dini inahela kumaanina ,ila kwa wakristo ,waislam hata ubweke mpaka utoke povu , utaondoka mishipa ikiuma mia mbovu hutoiona 😂😂😂

  • @basiribonga689
    @basiribonga6897 ай бұрын

    Kwamba kanisa lina police station? Sawa bana

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa76237 ай бұрын

    TUJIANDAYE YESU KRISTO ANARUDI TUJITAKASE KUMLIPA KILA MTU UJILA WAKE TUWE MACHO MUNGU ATUFUNGUE MACHO TUONE HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO YESU KRISTO ANARUDI WAPENDWA

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb7 ай бұрын

    Itabidi niende uislamu jamani daah

  • @user-uo8xw9kr4b

    @user-uo8xw9kr4b

    7 ай бұрын

    Karibu bila shaka ALAH JALAH JALAL akuongoze.

  • @drsilo

    @drsilo

    7 ай бұрын

    Karibu na utajua km ukristo hamna kitu hamna pasta atakaezungumzia hili..lakn ktk hamn mtu atakaeichezea DINI njoo ktk din ya haki

  • @joniajohn4716

    @joniajohn4716

    6 ай бұрын

    Don't get lost Yesu ndie njia ya kweli na uzima , pasipo Yeye hakuna atakae mbona MUNGU alie hai. Leo kubali umpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako ingali neema ipo. Nenda katika kanisa linalohubiri neno la kweli na uzima....sio miujiza miujiza pekee haiwezi kukujenga kiimani. Ufundishwe neno la Mungu vizuri ili uweze kukulia wokovu. Ukikomaa kiroho na kiimani kama Neno la Mungu linavyoagiza upepo wa UONGO wa ibilisi na agents wake wakiwemo manabii wa uongo hautakuyumbisha kwa sababu utakua umejengwa katika misingi imara. Ndugu usipotee muslims and christians don't worship the same God unfortunately. Yesu ndie njia ya KWELI NA UZIMA that's it.

  • @Sheba4651

    @Sheba4651

    6 ай бұрын

    ### Yusto karibu kwenye Uislamu, huku kwetu mtu haamki asubuhi akawa nabii ama mtume, kubwa atakua sheikh tu, atowe mawaidha aseme na kunukuu ya Mungu muumba.

  • @RojahKamalza-lw3ls
    @RojahKamalza-lw3ls7 ай бұрын

    Mmeona hiyo pua lakin

  • @lujuomjanja2866
    @lujuomjanja28667 ай бұрын

    HAPO USA HAPO KUNA VITU VINGI SANA PALE........!!!

  • @simionngayayi6903
    @simionngayayi69037 ай бұрын

    Unakuaje mtumishi wa Mungu alafu una hereni kwenye pua cha pili ukawa na Rasta za bandia huo ni utumishi wa Mungu ama ni usanii 🤔🤔🤔

  • @veeJesus

    @veeJesus

    7 ай бұрын

    Kwani wapi imeandikwa ukiwa mtumishi usiwe na kipini au kuwa na rasta ni dhambi. Iv huwa mnasoma biblia au mnahukumu tu kwa vile mna bando.

  • @africa7479

    @africa7479

    7 ай бұрын

    ​@@veeJesus wewe hebu ona aibu hapi shetani mwenyewe nachukua nukuu kwa mshangao

  • @user-cb2us2nu2m

    @user-cb2us2nu2m

    7 ай бұрын

    Moyo ndio utakutetea siku ya kihama 😊

  • @lazarojoseph7541

    @lazarojoseph7541

    7 ай бұрын

    Hetani tu

  • @lazarojoseph7541

    @lazarojoseph7541

    7 ай бұрын

    ​@@veeJesusAcha kutetea ujingi kutoboa pua na mirasta unaona ni sawa ndio maana dini ya kikristo ndio inasupport ushetani waislam watabaki kuwa juu kwa misimamo yao na kuto kusupport ujinga au ushetani

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine30387 ай бұрын

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,? Mathayo 24 inaongea mengi, lakini leo mafuriko na majanga ya asili tunaita mabadiliko tabia ya nchi, wakati ukweli Ni dalili za siku za mwisho, tunadanganywa ili tusimtafute kristo, changamkeni watu wa Mungu, Mwili wako Ni hekalu la Mungu, ya Nini kuvaa makolokolo? Ma tattoo yote Ni miungu,, Aya Bwana awaongoze njia njema: 1kor 6;19 miili Ni Mali ya Mungu

  • @haridimpelengana1246
    @haridimpelengana12467 ай бұрын

    Haya misukule nendeni kwenye usiku wa maajabu mkapandikiziwe chip za ushoga. Mungu si mwendawazimu

  • @sittymnengwe5057
    @sittymnengwe50576 ай бұрын

    People em kuweni makini jamani mtu wa Mungu anavaa kipini kasuka hereni macheni jamni watu muwe makin hawa n wapotzaji wanakusanya nafsi t

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu28697 ай бұрын

    Hakuna dini hapo

  • @Boaz22
    @Boaz227 ай бұрын

    Bro sky, prophet sio mchungaji, ni Nabii😅😅

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg7 ай бұрын

    jamani kuweni makini hawa ndy wanasapoti ushoga

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir51277 ай бұрын

    Mtumishi we mungu kava hirini😂😂😂😂

  • @stanastana3199

    @stanastana3199

    7 ай бұрын

    Wanasema unyamwezini ni mambo ya kawaida

  • @Sheba4651

    @Sheba4651

    6 ай бұрын

    ​@@stanastana3199 Ikiwa unanyamwezini ni jambo la kawaida, kwa Yesu na bikira Maria nako ni la kawaida?

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther59087 ай бұрын

    Mwe Mwe Mweee🤔

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation7 ай бұрын

    Sijawahi kuona manabii wanavaa vipini na hereni na vipensi😂😂

  • @isabellarkageha7707

    @isabellarkageha7707

    7 ай бұрын

    Ndio nashangaa

  • @manaseiranga5273
    @manaseiranga52737 ай бұрын

    Tunaomba ufanye nae interview

Келесі