Gospel Song: Kazi Na Wanawake By Pastor Munishi

Музыка

Gospel Song: Kazi Na Wanawake By Pastor Munishi

Пікірлер: 77

  • @janethmakendi7720
    @janethmakendi77203 жыл бұрын

    MUNGU AZIDI KUKUBARIKI SANA MTUMISHI. Hakika ni nyimbo ambazo zipo rohoni sana. MUNGU anakutumia kwa viwango vikubwa sana, azidi kukuongoza na kukupigania katika safari yako ya WOKOVU.

  • @yoleelobenyo1687
    @yoleelobenyo16873 жыл бұрын

    All songs of this servant of God is full of teachings and full of truth just the way the BIBLE has declared..the spirit of God is speaking to women I like that part....

  • @geoffreykoech736
    @geoffreykoech7362 жыл бұрын

    Those days, when radio cassatte was fasion we could rewind it again and again

  • @fredyelifuraha2553
    @fredyelifuraha25532 жыл бұрын

    August 2021 still amazing. Blessed Pastor Munishi..

  • @bettyjematia2286
    @bettyjematia22862 жыл бұрын

    You have God given wisdom

  • @sirvincentokello
    @sirvincentokello11 жыл бұрын

    i think munishi is right this issue of equal rights is not from God but from the knowledge of man

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami43514 жыл бұрын

    2020 but still lit🔥🔥🔥 when gospel was gospel

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya22695 жыл бұрын

    Hizi nyimbo ziliimbwa zaman sana, sikujua kama zina ujumbe huu mzuri, hakik mungu ni mwema

  • @mokinyoyiankasi6335

    @mokinyoyiankasi6335

    4 жыл бұрын

    Very true

  • @okenyenewton2183

    @okenyenewton2183

    2 жыл бұрын

    Me sikuwa naelewa kiswahili but I loved the music

  • @tabithakamau5527
    @tabithakamau55272 жыл бұрын

    I really love munishis songs

  • @samwelomary343
    @samwelomary3433 жыл бұрын

    November 2020,be blessed pastor munishi

  • @truebloodblood9335
    @truebloodblood93355 жыл бұрын

    Munish Allah akujaliye asikutowe duniani kama uja silimu Yale unao yaimba na maamdiko ya Qur'an takatifu Sawa kabisa mungu akubariki

  • @theoneboy6201
    @theoneboy62014 жыл бұрын

    2020 from Rwanda

  • @dicksonogindo572
    @dicksonogindo5723 жыл бұрын

    Sikuhizi wanawake wengi wanataka kuwa kama mwanaume,kwaajili ya 'previlages' wanyodhani wanaume wanazo, wanaume wengine pia hivyo hivyo na kusababisha jamii ilio changanyikiwa mnoo,niwachache (kwa jinsia zote) wano elewa nafasi zao katika jamii...

  • @irenemacha7457
    @irenemacha74574 жыл бұрын

    Ni kweli munishi uliona mbali sana ,, ila tatizo wanaume wamebadilika mwanamke 2020 usipoendesha gari la taka hutokaa uheshimiwe ng,o

  • @MuyinzaWashington-jy3dk
    @MuyinzaWashington-jy3dk3 ай бұрын

    I like the way the song begins

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza58135 жыл бұрын

    Jameni Munish where are you to tell them the truth.... gospel ya siku hizi😥😥😥😥

  • @j.damournsabimana156
    @j.damournsabimana15611 жыл бұрын

    Hawawezi juu Mungu ndie alitupangia majukumu, kila mtu ana kazi zake

  • @Udakucity
    @Udakucity2 жыл бұрын

    pastor be blessed

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 Жыл бұрын

    God bless you mnishi

  • @estherwanjiru6580
    @estherwanjiru6580 Жыл бұрын

    Exactly as God intended, not like today there's confusion everywhere

  • @henryouko2882
    @henryouko28823 жыл бұрын

    Such an amazing song

  • @kiribwazmoseyz2620
    @kiribwazmoseyz26205 жыл бұрын

    Dem dayz..when music ws music precise

  • @aibonkinya2817
    @aibonkinya28175 жыл бұрын

    Hii injili ilitikisha shetani sana

  • @paulsanare5848
    @paulsanare58487 жыл бұрын

    Bwana ni mwema nimefurahi sana tena moyo imepata raha tele kwa nyimbo sako pastor munishi mungu azidi kua nawe.

  • @user-zu6by3xq9e
    @user-zu6by3xq9e11 ай бұрын

    ina nibariki sana hii nyimbo

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 Жыл бұрын

    Weeeeeehhh🔥🔥🔥🔥nimotoyeeeeeee

  • @leylovealoyce5007
    @leylovealoyce50074 жыл бұрын

    Jamanii nyimbo inabariki hii 😘😘2020

  • @murimawimanaremy6829
    @murimawimanaremy682911 жыл бұрын

    asante sana kwa nyimbo hiyi

  • @abijahbwoma2571
    @abijahbwoma25714 жыл бұрын

    Injili isonge mbele munishi

  • @paulomshama2485
    @paulomshama24853 жыл бұрын

    2020 bado wimbo ni moto

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl4 жыл бұрын

    Tumeskiya kabisa baba munishi Asante

  • @inspiredmodernwriters9718
    @inspiredmodernwriters97183 жыл бұрын

    This is the truth of the Gospel.

  • @benjamin.4628
    @benjamin.46283 жыл бұрын

    Things have changed in our world today. Women, since the new testament era have been upgraded, like through baptism, they can enter into covenant with God not like the old testament where only men can. The message here is true many thousands years ago, not today.

  • @beautifulnaturerelaxation-641

    @beautifulnaturerelaxation-641

    2 жыл бұрын

    The word of God will never change man

  • @ferdinandtiras1838
    @ferdinandtiras18388 жыл бұрын

    I love Gospel

  • @beatricerobison4297
    @beatricerobison42979 жыл бұрын

    eti ck izi haki sawa kwa wote

  • @davidkomen7714
    @davidkomen7714 Жыл бұрын

    powerful to the current generation and the generations to come

  • @cyubahiromarcel3088
    @cyubahiromarcel30884 жыл бұрын

    Sisi waume tutafanya kazi gani kama ma lorries hata ndege mwaendesha? ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Pastor Faustin Munishi!

  • @bowattanga
    @bowattanga Жыл бұрын

    👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @emanueltarangei4390
    @emanueltarangei43905 жыл бұрын

    Iko powa sana

  • @raelsamson635
    @raelsamson6353 жыл бұрын

    Safi

  • @munishifaustin
    @munishifaustin12 жыл бұрын

    Je Wanawake wanaweza yote wafanyayo wanaume?

  • @stacybriton6899

    @stacybriton6899

    3 жыл бұрын

    yes

  • @barakabahati6600

    @barakabahati6600

    3 жыл бұрын

    Hawawezi kabisa mwanamke atabaki kua wa pili milele✌

  • @angelsanga9093
    @angelsanga90937 жыл бұрын

    Mnishi asante kwa ujumbe mzuri nimejifunza

  • @oscardotto3200
    @oscardotto32008 жыл бұрын

    Siku hizi haki sawa

  • @RoseBoaz-iw9wl
    @RoseBoaz-iw9wl Жыл бұрын

    Nice song

  • @changullahstephen5568
    @changullahstephen55684 жыл бұрын

    PR ulipotelea wapi?

  • @morinemasinde8153
    @morinemasinde81535 жыл бұрын

    Always valued

  • @hadijamkelenga5349
    @hadijamkelenga53493 жыл бұрын

    Yapo yanayosababisha hayo, sio wanaume wote wenyekutimiza wajibu wao katika familia, hivyo mwanamke analazimika kufanya kazi ili alee familia kutokana na manyanyaso.

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 Жыл бұрын

    Blessings

  • @davidkibeu6523
    @davidkibeu65234 жыл бұрын

    Hahaha tutoe maziwa yetu tuyapigie ugaliiii@Munishi Wisdom nayo#

  • @stacybriton6899

    @stacybriton6899

    3 жыл бұрын

    yes

  • @beautifulnaturerelaxation-641
    @beautifulnaturerelaxation-6412 жыл бұрын

    Mke wangu alifanya mjengo ule wakati wao wa MP alikuwa anavuja damu sana na kupitisha siku zake. kwa hivo kila mtu na majukumu yake.

  • @martinwafukho5452
    @martinwafukho54522 жыл бұрын

    True.

  • @langie24
    @langie2412 жыл бұрын

    La. lakini siku hizi wanadai at ni haki yao pia

  • @bettsharon8617
    @bettsharon861711 жыл бұрын

    This is not helping men or women, this is misogyn and sexim. Munishi kwa Mungu tuko sawa.

  • @davidlitunya3993

    @davidlitunya3993

    5 жыл бұрын

    Upon you

  • @aliandrew3537

    @aliandrew3537

    4 жыл бұрын

    Kumbe washindwani wako kila mahala kwani wewe hujaelewa ujumbe watokwa tu kwa maneno munish a naongelea duniani waingiza mengine mmmmh sikiza vizuri

  • @titusmakusi9237
    @titusmakusi92375 жыл бұрын

    Eh! I am shocked to here what is happening among Makasis in the song makasis waoe. Munishi allow Gd to use you in this last days to shade light on issues that are deeply hidden from the space. Rev.Makusi

  • @mase09
    @mase0911 жыл бұрын

    @Munishi please upload ni nyime githeri thanks in advance I know you will not dissapoint.

  • @stacybriton6899

    @stacybriton6899

    3 жыл бұрын

    sawa

  • @ewangantv6260
    @ewangantv62605 жыл бұрын

    wapi paulo na sila waliomba plz?

  • @changullahstephen5568

    @changullahstephen5568

    4 жыл бұрын

    DAN OLE umenikumbusha mbali aise

  • @isaya8265
    @isaya82652 жыл бұрын

    M

  • @eboyaemanuel9122
    @eboyaemanuel91225 жыл бұрын

    kweli kabisa.

  • @langie24
    @langie2412 жыл бұрын

    La , lakini siku hizi wanadai eti ni haki yao pia.

  • @stevekabengi5114
    @stevekabengi51145 жыл бұрын

    John meth

  • @mylandiskenya
    @mylandiskenya12 жыл бұрын

    As much I agree with your sentiments about the "weaker sex".I wish to inform you that what you are advocating is only possible in Kenya and other 3rd world nations. Here in America you and your song would be classified and termed as "chauvinistic" "antifeminist "discriminatory""sexist""gender -insensitive "stereotyping"and "prejudicial", the backlash from the "National Organization of Women"(NOW) would be swift,fast and furious Munishi you would never dare sing this song in a church in the USA.

  • @Jacquesam

    @Jacquesam

    5 жыл бұрын

    I live in Canada and women who fear God live according to scripture l know women who live in U.S. who live according to this song few of us but we have the fear of God and we are not living according to the precepts of this world. There are women in north america who live by scriptures.

  • @onsomugodhard

    @onsomugodhard

    4 жыл бұрын

    Say that to racist, sexiest Trump!

  • @devidinzalinzali8474

    @devidinzalinzali8474

    4 жыл бұрын

    Hongera mtumishi wa mungu ,

  • @paschalnganguli9744

    @paschalnganguli9744

    Жыл бұрын

    Mtumishi umeona Leo wanaume wanataka ushoga Sasa hivi tabu tupu maono yako yanaonekana Sasa tatizo.

Келесі