Ferdinand Omanyala awataka vijana kushiriki mbio fupi

Bingwa wa mbio za mita mia moja barani Africa Ferdinand Omanyala, amewarai wanariadha wachanga wanaoanza mbio kushiriki mbio fupi kama vile zile mita mia moja. Kwa mjibu wa Omanyala taifa la kenya halijakuwa na sifa kwenye mbio hizo akijitaja yeye kuwa mfano bora katika kuizolea sifa Kenya kwenye anga za kimataifa.

Пікірлер: 2

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 Жыл бұрын

    My favourite sport is Cricket in Jesus Christ name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine

  • @steveirungu3132
    @steveirungu3132 Жыл бұрын

    My role model are Shoaib Akhtar Washim Ankram Brett Lee Glenn McGrath Jason Gillespie etc but athletics to me it's a hell NO period by Steve Irungu Jermaine