Familia nne kutoka Nakuru zalilia haki baada ya wana wao kupigwa risasi na maafisa wa KWS

Zogo La Samaki Ziwa Nakuru
Familia Nne Zinalilia Haki Kaunti Ya Nakuru
Wanadai Wana Wao Walipigwa Risasi Na Maafisa Wa Kws
Inadaiwa Walipigwa Risasi Wakivua Samaki Ziwa Nakuru
Polisi Wameanzisha Uchunguzi Kuhusu Kisa Hicho

Пікірлер