EXCLUSIVE : DULLA MBABE AKITOLEA UFAFANUZI KIFINYO ALICHOCHEZEA UINGEREZA | AANIKA JANJAJANJA....

Спорт

Bondia Mtanzania Dulla Mbabe atolea ufafanuzi na maelezo ya ndani kuhusiana na kifinyo matata "KO ya uso kukutana na ngumi'' alichochezea nchini Uingereza Machi 31,2024, Ambapo bondia huyo alikalishwa kwa KO nzito na kulamba ulingo...
Stori zikasambaa ndani ya mitandao ya kijamii na kushika kasi kwenye kurasa mbalimbali za michezo nchini Tanzania ikiwemo huku kila mtu akisema lake.
Dulla ana nini cha kujibu dhidi ya kichapo hicho, huyu hapa kwenye LEO TENA anajibu yote kwa ufafanuzi maelezo..

Пікірлер: 152

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif94652 ай бұрын

    Africa kuna wapiganaji wazuri sana sema tatizo wanatumia madawa

  • @HusseinRamadhani-tu3ld
    @HusseinRamadhani-tu3ld2 ай бұрын

    Kiukweli Dula nivigum kumuaminisha kila mtu uhalisia wamtu ulionao mm nakupa hongera kupamabna ongeza mazoezi ila fitina zipo sana ktk mapambano ya Michezo

  • @xmathematics_
    @xmathematics_2 ай бұрын

    ukisoma comments unajua tu vile wabongo hatupendani... roho mbaya tu

  • @alexgeorge3237
    @alexgeorge32372 ай бұрын

    Pole mwamba mimi nimekuelewa sana

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial16292 ай бұрын

    Anacho kiongea Dulla ni kweli wazungu wanahizi Mambo sana

  • @user-rk3zf4ps5z
    @user-rk3zf4ps5z2 ай бұрын

    Ngumi za wageni kushinda kwa point hapa Duniani zipo Tanzania tu.kwengine kote Duniani unapigishwa tu

  • @kiya0910
    @kiya09102 ай бұрын

    Pius ni bondia mzur sana 🎉❤❤

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary79812 ай бұрын

    Kazana ndugu yangu! Onyesha kiwango cha mabadiliko japo n kwl tunajua age imeshakata na kiwango kimeshuka.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya23112 ай бұрын

    ....you are better be smart !? Au you better be smart !? Msomaji sms au mwandishi !? Au ndio ada zenyewe !?

  • @ShebbyFlavour
    @ShebbyFlavour2 ай бұрын

    Uyo muongo sms wametumiana na watu wa kule kule uingeleza watanzania wanaoishi kule cc tumsikilize tuuu ishakuwa mbaya

  • @ramadhanimohamedi7987
    @ramadhanimohamedi79872 ай бұрын

    Huyo hlo dude la juu habadirishagi aisee

  • @Humanity21216
    @Humanity212162 ай бұрын

    Daa wabongo huwa wakiamua kuchagua upande wao hata uwathibitishie vipi hawakubali comments zimejaa chuki za kujenga ni chache! Next time dullah uwe tu makini ujifunze kupitia makosa

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis98252 ай бұрын

    Bora Ungebaki Na Siri Yko Dulla Wabongo Hawawez Kkuelewa Kwa Ilo Jambo Endelea Kupambana

  • @emmadominic9601
    @emmadominic96012 ай бұрын

    Mwongo sana huyu Dulla,mswahili sana

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi73772 ай бұрын

    pole sana niliiona ilee match Ndıo mchezooo mm kama mwanasports s shangaii !!

  • @user-cy8el2pg6t
    @user-cy8el2pg6t2 ай бұрын

    Dula tunakukubali sana lakin yule bondia yupo vizur umuwez

  • @suleimanikirassahassan9711
    @suleimanikirassahassan97112 ай бұрын

    Jose mara umezingua

  • @taurehassan7399
    @taurehassan73992 ай бұрын

    Round zote dullah umepigwa bhn sema unatka tupost round ipi?ambyo unahc ww umempiga mshikaji?sema ww umepigwa

  • @rashididunia9814

    @rashididunia9814

    2 ай бұрын

    amin baba kapigwa kwel

  • @frankarney5108
    @frankarney51082 ай бұрын

    Acha uongo kilasiku unapigwa acha ngumi bro

  • @mpondijaguar8105
    @mpondijaguar81052 ай бұрын

    Ujumbe siyo sahihi.kubali ulipigwa na uwaombe radhi shabiki wako.

  • @taurehassan7399
    @taurehassan73992 ай бұрын

    Waandishi hao mabondia ni waongo,wakipigwa wanacngizia kubebwa wakishnda maneno mengi na kujigamba kwingi,huyo kapigwa,twaha kapigwa,kidunda kapigwa na mwakinyo chmpz katuzuga vicbgizio kibao

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa26712 ай бұрын

    Dullard huo ni Uwongo

  • @nurdinibrahimu7312
    @nurdinibrahimu73122 ай бұрын

    Tatizo dula ajaaga ivyo kakosa baraka zetu🏃🏃🤣🤣🤣 kakurupuka

  • @deusmauka8270
    @deusmauka82702 ай бұрын

    Si kweli, acha kutufanya sisi makolo. Umepigwa kinyama kubali tu.

  • @user-dm2pc8qr1r
    @user-dm2pc8qr1r2 ай бұрын

    Sema nilipigwa ila round tatu nilisavaivu vizuli

  • @AlhajiMalik-wh2tl
    @AlhajiMalik-wh2tl2 ай бұрын

    Usikate Tamaa dulla

  • @user-jy9zf5rt8d
    @user-jy9zf5rt8d2 ай бұрын

    Wewe umepigwa vizuli Sana

  • @user-hv6qw2zw2y
    @user-hv6qw2zw2y2 ай бұрын

    HAMNA KITU ACHA UTEJA BROTHER CHEKI DOMO LIMELEGEA 😂😂

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala73832 ай бұрын

    Umedundwaa kubali Wacha ngonjera nyingi

  • @herberthatibu8439
    @herberthatibu84392 ай бұрын

    Hiyo SMS inaweza kuwa ya kutengeneza, Uingereza wanatujia Euro au Pounds siyo dolla

  • @pachawana1528
    @pachawana15282 ай бұрын

    Lazima tuwe wazalendo na inchi yetu, mabondia njee ya inchi wananyanyasika sn

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga12902 ай бұрын

    Shauri yako we sema UONGO, Wazungu WATAKUSHITAKI!

  • @athumantuwa4542
    @athumantuwa45422 ай бұрын

    MAKASIRIKO

  • @user-gs9tr4jw8x
    @user-gs9tr4jw8x2 ай бұрын

    hiyo message mngeiweka hapo kwenye screen tuione, na tuone na hiyo number - si mmeamua kufunguka, wekeni vitu hadharani tuone wenyewe

  • @yunusmbonde8890
    @yunusmbonde88902 ай бұрын

    Muacheni dula akapumzike anaumwa jama anajua kukanda umekandwa sana pole muigeni pius mpenda anamkanda mtu kwao mpaka wanakubali

  • @taurehassan7399
    @taurehassan73992 ай бұрын

    Yaan wabongo mnazingua Sana,mkishinda hamsemi km mumefanyiwa hujuma,Ila mkipigwa 7bu km zote,pambano aloshinda bondia kw k0 hamkusema mumependelewa lkn mlipopigwa na kuuza pambno mnacngzia viatu,

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin2752 ай бұрын

    Hamna bondia hapo

  • @nicoluskanegene5394
    @nicoluskanegene53942 ай бұрын

    Kama ni hivyo si Bora unbeatable hilo pambano kabisa na kuwajulisha wahusika pumbavu ww

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango93852 ай бұрын

    Ameuza match

  • @sixytntongambele3038
    @sixytntongambele30382 ай бұрын

    Nikwel kabisah mzee me nimeona mechi uliopigana na katompa na ngumi ulizo pigwa na rounds zikaisha angekuwa bondia mwingine kisha viacha wewe ni bondia mgumu sijawah kuona Tanzania 🫡🫡🫡

  • @faustinHaule-ub4pe
    @faustinHaule-ub4pe2 ай бұрын

    Umepigwa kubali acha kunawa mzee

  • @karolipius1162
    @karolipius11622 ай бұрын

    Aiseeee

  • @caseemside5938
    @caseemside59382 ай бұрын

    One hundred thousand...sio dollar elf1 be smart unayoyasoma na unavyo translate ni tofauti.

  • @ShabaniMdaigo
    @ShabaniMdaigo2 ай бұрын

    Dulla una uso mgumu ujavimba jicho😂

  • @AnnoyedBreakfast-zn2bo
    @AnnoyedBreakfast-zn2bo2 ай бұрын

    Mbona hela ndogo 1000$😅😅😅

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo2 ай бұрын

    Dullah muongo,yaan issue km hiyo ya rushwa wakutumie msg?msg ambayo ni ushahid inayoweza kuwaharibia,nakataa

  • @uwezokinahi7870

    @uwezokinahi7870

    2 ай бұрын

    Kazingua sana Huyu Jamaa..Alitakiwa akaushe tu

  • @mohammedkombo3727
    @mohammedkombo37272 ай бұрын

    Mabondia wa Tz acheni usenge msifanye watu wajinga kama nyinyi kwanini usikubali umepigwa unaongea sababu Zakijinga yule wa Tanga alisema Beg lake Lili potea Airport umeenda kupigana UK wanao taka kukupa pesa ili uwachie pambano wapo UK lkn waliongea na mtu kutoka Ghana akupigie Sim ili ukubali kuachia pambano hii sijaiyelewa bado

  • @ayoubabdul6152

    @ayoubabdul6152

    2 ай бұрын

    Huyu apumzike tu ngumi hanakitu chakutuambia

  • @rajabunjohole
    @rajabunjohole2 ай бұрын

    Huyu atakuwa na matatizo akili akachekiwe

  • @kattemwanambulu9403
    @kattemwanambulu94032 ай бұрын

    Kaka dulla hapo unatupanga , wewe kiwango chako na yule mpinzani wako tofauti kabisa.Hata marudiano ifanyike tanzania knockout inakuhusu, wewe umepata pesa yako ya kula basi tulia.Wadau wangumi tunajuwa haunakiwango cha kumshinda mpinzani wako

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy52042 ай бұрын

    Dulla mbabe😂😂😂unajitetea kinyongeee!!!???ila we ni mwamba utabaki kuwa nembo ya taifa katika boxing.

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali152 ай бұрын

    Dula umelala kwa raha za pale sio njamaa

  • @user-yc4tn2eg1h
    @user-yc4tn2eg1h2 ай бұрын

    Mbona tuliona raundi zote 4 dullar mbabe?nn kipo hapo.

  • @stn4873
    @stn48732 ай бұрын

    Inaweza ikawa kweli ila sisi tutaaminije, tutajuaaajeeee!!!

  • @ShabaniMdaigo
    @ShabaniMdaigo2 ай бұрын

    Ww muongo kubal tu umechezea kichapo

  • @siggykavishe6036
    @siggykavishe60362 ай бұрын

    Dula ni bondia mzuri sana ,lkn Kwa hili la juzi aseme ukweli tu .amekalishwa na sii Kwa njma.hamuwezi yule jamaa maana jamaa yule alimzidi Kwa kila kitu

  • @abasmwika3432
    @abasmwika34322 ай бұрын

    Huyu kapigwa round zote 4 alizocheza analeta sababu za kipuuzi tu halafu hawezi kuongea ki professional bora angekaa kimya!!!

  • @FabianMkirikiti-fn9mb
    @FabianMkirikiti-fn9mb2 ай бұрын

    Unachokisema wanamichezo wanakuelewa vizuri

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka28072 ай бұрын

    Kwanini usijigharamie Hotel na Second Wako Mwenyewe, Acha Lawama

  • @user-ch8ly8lq8w
    @user-ch8ly8lq8w2 ай бұрын

    Uyu ni mweu

  • @mustakimibrahimsemindu6807
    @mustakimibrahimsemindu68072 ай бұрын

    Sound truck ina bore kweny interview zenu

  • @glassamo3847

    @glassamo3847

    2 ай бұрын

    Sounds track ni identity ya kipindi 🎉

  • @kiya0910
    @kiya09102 ай бұрын

    Acha ujinga ww afdhali angeanda pius mpenda

  • @user-bs1jg5rh4r
    @user-bs1jg5rh4r2 ай бұрын

    Hajui Ngumi chizi wewe😅😅😅😅

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu57672 ай бұрын

    Kama walikutumia message kama hiyo ingest takı kWa kamisaa wa mchezo kabla ya pambano

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene21212 ай бұрын

    Jamaa liongo kinoma,, linaunga unga sabab lakn hazikai

  • @yusuphmtuga4951
    @yusuphmtuga49512 ай бұрын

    We toka toka, toka bwana,usituletee ngonjera Anza kuimba taarabu

  • @andrewmbilo6418
    @andrewmbilo64182 ай бұрын

    Dulla opted to talk falsehoods out of the 7,139 languages spoken in the world.

  • @mfakishenga3327
    @mfakishenga33272 ай бұрын

    Yule bondia ulikuwa humuezi kabisa yani wazungumza urongo kujitetea .bro kubali tu ulishindwa. Ulikuwa wajitahidi lkn bondia uliepatana nae ni bondia mwenye akili skils yuko faster kukuliko. So bro watu walikuona unavyo jitahidi lkn humuezi hata mukiregelea fight atakueka chini

  • @yusuphabdallah3494
    @yusuphabdallah34942 ай бұрын

    Yule shoga alisema viatu vimembana uyu nae changing room alilala anataka kutuaminisha walipulizia dawa

  • @rajabujumanne9519
    @rajabujumanne95192 ай бұрын

    Uwezo wako mdog sana kwa yule mchiz

  • @user-pd8jz1kq1j
    @user-pd8jz1kq1j2 ай бұрын

    kwanini mkubali kwenda ivyo wakati mnayajua hayo mambo yapo au ndo tuseme njaaaa

  • @richardvallerian1003
    @richardvallerian10032 ай бұрын

    One hundred thousand ni dola laki moja sio dola elfu moja

  • @SimionJohn-jg6if
    @SimionJohn-jg6if2 ай бұрын

    Age go

  • @comics3437
    @comics34372 ай бұрын

    Kama ulilala shida iko wapi sasa😅

  • @Emmanuel-zw5yp
    @Emmanuel-zw5yp2 ай бұрын

    Yani huyu n bondia WA hovyo limepgwa afu analeta sababu za kifara acha ujinga Wewe hujui ngumi mibangi misigara unanataka kuleta ufara😅😅😅😅

  • @user-gs9tr4jw8x
    @user-gs9tr4jw8x2 ай бұрын

    mwishoni hapo alianza kupanick

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila11092 ай бұрын

    Kubali tu jamaaa kakuzidi uwezo, mbn hata bongo ulipigwa mala mbili na katompa au napo ulifanyiwa figisu?

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu57672 ай бұрын

    Kama unaushaihidi wa mpaka message kwanini usiwashitaki katika shirikisho la ngumi duniani

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c2 ай бұрын

    Njau alikuwepo ,? Unasingizia upendo njau ,,,visingizio Kama vyote

  • @ForodhaniZanzibar
    @ForodhaniZanzibar2 ай бұрын

    Dullah ashachoka

  • @user-qg8zr9eh2y
    @user-qg8zr9eh2y2 ай бұрын

    Mzungu yuko fiti atatuulia mzaramo wetu😂😂😂

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb2 ай бұрын

    Dulla pumzika uttauliwa ulingoni

  • @DrogbaWilly-co6pu
    @DrogbaWilly-co6pu2 ай бұрын

    Wanazingua ana hata aibu kwahyo ametia aibu nchi kisaela😮

  • @user-bs1jg5rh4r

    @user-bs1jg5rh4r

    2 ай бұрын

    Wewe dula muongo Kwenda huko😅😅😅😅

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv16322 ай бұрын

    Swala ni kwamba umekandwa haijalishi umekandwa vip 😂😂😂😂😂 kwaiyo usimlaumu mtu yeyote aliepost umekandwa

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya87172 ай бұрын

    Muongo dula, maneno yako yanakusuta

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c2 ай бұрын

    Hapa kwetu usanii kweli kweli uongo malakibao

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu57672 ай бұрын

    Kwanini hao watu usiwataje hayo mambo ya kuna mtu ni uongo mtupu mnaposhindwa mnaanza upumbavu mtupu.

  • @hashimkunambi7460
    @hashimkunambi74602 ай бұрын

    Pumbavu zko.

  • @user-wg4rm5by8z
    @user-wg4rm5by8z2 ай бұрын

    Alienda kuangalia uingreza palivo

  • @user-te1uk3ku8b
    @user-te1uk3ku8b2 ай бұрын

    Hamuna lolote .wee umepingwa vinzuri .na yure bondia humuwezi

  • @user-en1re7ot8c
    @user-en1re7ot8c2 ай бұрын

    Toka acha uwongo

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis98252 ай бұрын

    Kwel Mmezd Unafki Watangazaj Wa-Tanzania

  • @nicodembrown7508
    @nicodembrown75082 ай бұрын

    Muongo angeshinda asingesema yote

  • @alexndihokubwayo8010
    @alexndihokubwayo80102 ай бұрын

    Wewe dull muongo

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary79812 ай бұрын

    Hao wanahabari wasikuumize kichwa.

  • @suleimanikirassahassan9711
    @suleimanikirassahassan97112 ай бұрын

    Unatafuta sababu

  • @barnabasmafuru6735
    @barnabasmafuru67352 ай бұрын

    Watamuua mzalamo wetu😂

  • @abubakarjabir3132
    @abubakarjabir31322 ай бұрын

    Muongo kichizi!

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi822 ай бұрын

    kashaanza kalala yaani dullah, kulala c uchovu au ndio ulimwagiwa dawa?

  • @WilirkMushy-tk8gw
    @WilirkMushy-tk8gw2 ай бұрын

    nmekuzarau sana chifu. huna thaman Tena ww ni bureee na ushalipwa

  • @fredrickmrema6256
    @fredrickmrema62562 ай бұрын

    Mwongo😂😂. Mchezo upo kwenye you tube 😂😂😂. Ulikuwa kama mandonga da. Jamaa alikewa anakuchapa mpaka huruma😂😂😂😂

Келесі