EMMY AIBUA MAKUBWA TOZO ZA USHURU WA MAZAO IFAKARA/WAITISHA MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YA WANANCHI

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 11

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda131913 күн бұрын

    Amkeni nchi ni yetu hakuna mwingine kuja kuwatetea lsipokuwa ni sisi kubadilika ktk taifa letu kazi ya kubadili mfumo sio wa chadema au upinzani ni kubadilika ktk mawazo yetu na kufanya viongozi wa bovu ktk serekali kutulewa shule tulienda wengi ila hatuwezi kuwa wote viongozi ktk serekali lakini tunauelewa

  • @isamony58
    @isamony5813 күн бұрын

    Safi kabisa

  • @noelyhaule5695
    @noelyhaule569513 күн бұрын

    Kwamim naona sawa to😂😂😂 mana si mnaendlea kuwakumbatia mi naona saf to😅😅😅😅😅😅😅

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd13 күн бұрын

    bado ujasemaaa, hapo bado.

  • @reginas1832
    @reginas183213 күн бұрын

    Hii Nchi inatakiwa mabadiliko. Huu utawala wanachojua ni kuumiza wananchi tu. Wa I wako na mavieti zinazotokana na jasho la wanyonge

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku13 күн бұрын

    Viburi kwa wenye mamlaka,hawapendi kibadirika wanna mioyo migumu.Ndo wataanza kujilambalamba kulinda uchaguzi.lakini pia kulindana kunaliangamiza taifa,

  • @generosennko8343
    @generosennko834312 күн бұрын

    Mkurugenzi kaa ofisini bwana uhudumie watu. Usikae getini kuidhinisha mateso ya unaowaongoza. Mwaka wa kuuumbuka huu

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja257513 күн бұрын

    Mheshimiwa Tundu Lissu ameyasema sana haya mambo ni nchi nzima wqkulima wanapigwa ile mbaya na hela yenyewe inaenda mifukoni. Uchaguzi ujao wa mitaa waondoeni Hawa wahuni wa CCM!!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole743813 күн бұрын

    Kwa maisha ni msgumu haswaaa aaaaaaaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole743813 күн бұрын

    Makubwa haya Mungu tusaidie tusiwe kama Kenya mbona nchi imekuwa hivi jamani

  • @jumandegwakazee

    @jumandegwakazee

    12 күн бұрын

    Towa Kenya kwenye mudomo

Келесі