DINNER YA KIMAHABA WAPENZI WAPYA | AHADI ZA NDOA | KUISHI AFRIKA KUSINI |

Ойын-сауық

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 39

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143Ай бұрын

    na umuowe usiende kumzini

  • @consolatamsacky6400
    @consolatamsacky6400Ай бұрын

    Mwanzo mzur😂😂ila sasa😂😂

  • @gastondofra9151
    @gastondofra9151Ай бұрын

    Nimefuraishwa sana na jinsi mnavofanana kisura.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143Ай бұрын

    usiende kumtoa kafara mwenzio mana nyiye hee

  • @dorcaskidoti249

    @dorcaskidoti249

    Ай бұрын

    😂😂😂😂 majina ya wazazi wake wa ya nn haswa jinna la mama uwiiiii ameishaa

  • @NeyKyando

    @NeyKyando

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249Ай бұрын

    😂😂😂😂😂mwanamke unachaguwaje mume anaongea ivi, hanna kitu apo

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955Ай бұрын

    Huyu mwanaume loooh

  • @SikituLusato
    @SikituLusatoАй бұрын

    J mo's nimuone kanisani member mpya

  • @rehemaomar7110
    @rehemaomar7110Ай бұрын

    Jaman huyu mwanaume ni mhuni sana sion akimlea vizuri mtoto wa watu

  • @user-oe9zv7hq9p

    @user-oe9zv7hq9p

    Ай бұрын

    Yani ujakosea kabisa uyu kaka macho yapo juu juu kaaaaah 🤣

  • @doricmagoma2480
    @doricmagoma2480Ай бұрын

    Mungu awasaidie

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677Ай бұрын

    Yan gara b hiki kipndi tangia kimeanza naona wat wanatoka lkn sio ndoa Cjui tatzo nn

  • @Pangolin_TV
    @Pangolin_TVАй бұрын

    Mbona mmemjia juu msabato wa watu jmn?

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009Ай бұрын

    Umuowe sio ukamzini zini mpaka kiuchi kiume mwishowe unamjaza kamimba

  • @AgnessDaud-jk7ro

    @AgnessDaud-jk7ro

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @MwajumaElias
    @MwajumaEliasАй бұрын

    Mbona mwanaume amechachukaaa

  • @fatmafatu1128

    @fatmafatu1128

    Ай бұрын

    Anataka amzini ukiona kachachuka

  • @Lulucut
    @LulucutАй бұрын

    Makambi jamn sabato mashaalh

  • @joycehaule9717

    @joycehaule9717

    Ай бұрын

    Hahahahahaa mu SDA mwenzangu

  • @sekelammbelo8311

    @sekelammbelo8311

    Ай бұрын

    We dada unawajua wasabato wewe Mafia dini...labda awe msabato wa kuchovya

  • @user-is3og1hc8r
    @user-is3og1hc8rАй бұрын

    Aya awe matiliooo 2 asije halibu mishono uko mbele😅😅😅😅😅

  • @user-qz9tw9dj4c
    @user-qz9tw9dj4cАй бұрын

    Namimi musabato piya

  • @user-qe3fs1xc3b
    @user-qe3fs1xc3bАй бұрын

    Kwani Hua wanaona au wanapuyanga to

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827Ай бұрын

    Mbona wakak wetu wa kisabato hawako pia😂😂😂 afu shemeji yetu mbona Kama ana sifaaaa iviii😂😂😂😂

  • @dorcaskidoti249

    @dorcaskidoti249

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂mhhhhh kkaka huyu kama tapeli ivi uwiiiiii haya vijisifasifaaa vingiiii mno

  • @sabihaibrahim143

    @sabihaibrahim143

    Ай бұрын

    sasa ngoja akifika huko apelekwe mwituni hukoo kuna kibanda kimoja tu ndo atakoma hata kama mimi mwanaume etii nikifika hapo najisifiaaa kumbe hata mlo mmoja siupati

  • @rubenprince8990

    @rubenprince8990

    Ай бұрын

    @@dorcaskidoti249 mimi natafuta mchumba wa kweli nimuoe mimi naishi Brisbane Queensland Australia tatizo ambao lipo asilimia kubwa ya wanaume waliokuja huko nyumbani kuowa wanawake wao asilimia kubwa wake zao wameota mbawa wamekimbilia mahakamani kuomba waachane kisa wamejanjaluka wamepata wanaume wapya wamewasahau wanawaume waliowaleta huku kwa wazungu hata wazungu walioenda kwao kuowa wake za nchi zao nao wamezinguliwa ivyo ivyo na wanawake walioenda kuowa kwenye nchi zao wamewaleta wanaume zao huku wanaume wamedanganywa na wanawake wengine mpaka wamewaqcha wake zao wameenda kwa michepuko nikiwaza gharama za kumleta mwanamke huku Australia kisha anibadirikie itaniuma sana maumivu yake hayatanisha moyoni mpaka nakufa lakini uwongo dhambi nimechoka kuishi bila mke nchi za nje

  • @evematinya6027
    @evematinya6027Ай бұрын

    A man is too talkative 😅😅😅

  • @queensalema5262

    @queensalema5262

    Ай бұрын

    Mwanaume anatakiwa kusikiliza zaid ya kuongeaa

  • @happymrema7487
    @happymrema7487Ай бұрын

    Duuu umepat

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316Ай бұрын

    Msabatooo???

  • @joycehaule9717

    @joycehaule9717

    Ай бұрын

    Mu adventist, hahahahahaa

  • @AgnessDaud-jk7ro
    @AgnessDaud-jk7roАй бұрын

    mmmmmh sabato kaenda kuchagua mchumb ooh

  • @ZitoJose-cl3pt

    @ZitoJose-cl3pt

    Ай бұрын

    Nimeshangaaaaaa😂😂😂😂 msabato gani huyu?

  • @AgnessDaud-jk7ro

    @AgnessDaud-jk7ro

    Ай бұрын

    hay wasabato ndo tulipofilia huku, vijana kanisan hamuonan mpak uku,kama kanisan kwako ujaon badilisha makanisa,sio kila siku kanisan moj,kajisemea Mchungaj Mmbag oky ngoj tuone

  • @joycehaule9717

    @joycehaule9717

    Ай бұрын

    Bora siye ni wa SDA hao wasabato fujo tu hahaha

  • @KIDORBOYS
    @KIDORBOYSАй бұрын

    Husband material 😅😅😂

  • @nawinahke710
    @nawinahke710Ай бұрын

    What's the criteria to participate in this show? Am single again

Келесі