DC ARUMERU ATOA TAMKO DHIDI YA SOKO LA TENGERU ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Kaganda amefika katika soko la Tengeru na kuweza kutoa Tamko la Serikali lakuwataka Wafanyabiashara katika soko hilo kufuata taratibu zilizowekwa ili waendelee kufanya Bishara zao kwa amani bila usumbufu wowote
Kaganda ameyasema hayo mara baada ya muda mchache wananchi kufunga Barabara na kugoma kuhama kutoka barabarani kuelekea katika maeneo waliyopangiwa

Пікірлер: 3

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711Ай бұрын

    Tatizo mmejenga nyumba kwenye eneo la soko watu wanafanya biashara zao barabarani ndani na nje kwasababu hakuna uwanja wa kutosha wafanyibiashara

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174Ай бұрын

    Mnapanga soko wakati limeshaharibika tangu mwanzo ,shida ni hivi ,eneo la soko linapotengwa halmashauri inaruhusu na kuwauzia watu wengine viwanja ndani ya soko unakuta maduka yanajazwa ndani ya soko na kufanya eneo la soko kuwa dogo sana ,hilo soko halitapangika labda eneo liongezeke . lakini .Barabarani Kwa biashara haifai

  • @zainabmakwinya5554
    @zainabmakwinya5554Ай бұрын

    Kazi iendelee

Келесі