#DAR24LIVE: PETER MSIGWA ASHINDWA KUVUMILIA/ AFUNGUKA YA MAGUFULI/ "MREMA ALINIPA STRESS"

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MSIGWA #MAGUFULI #MREMA

Пікірлер: 30

  • @hendrycomonsiwenga1128
    @hendrycomonsiwenga1128 Жыл бұрын

    Mhe Peter Msingwa umeongea vizuri sana, hongera kwa ilo! 🙏👆👍

  • @hendrycomonsiwenga1128
    @hendrycomonsiwenga1128 Жыл бұрын

    Mhe, Dk. JPM Endelea kupumzika kwa Amani! Ulikuwa Baba mwenye maono. 😭😢😭😢

  • @maulidimuhammed7851

    @maulidimuhammed7851

    Жыл бұрын

    Huyu Makufuli muuaji ndie alikuwa na maono?Labda maono ya shetani.Kuunda vikundi vya watu wasojulikana vya mauaji dhidi ya binadamu wenzake tena wasio na hatia.Kutesa watu,kibambikizia watu makosa ya uongo,kunyamganya watu mali zao kwa uonevu kama walivyokua wakifanya wateuzi wske akina Sabaya,Makonda,Gambo na wengi wengineo.Wakati wa utawala wake watu wakiokotwa pwani bichi wakiwa wamefungwa ndanu ya viroba wakiwa wameshauwawa wakiokotwa huko kila siku ya Mungu kweli mtu mwenye vitendo hivyo vya kishetani ana maono ya Mungu?Achilia mbali alivyompiga risasi Tundu lissu tena kwa uonevu tu.Acha Mapenzi ya kijinga au katika waliofanyiwa hivyo hayumo baba yako,mjomba wako au kaka yako au ndugu yako yeyote yule basi ujue kuna ndugu wa wenzio .

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Жыл бұрын

    Asinge kuwa nyerere uhuru mngeupata??muogopeni mungu.

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 Жыл бұрын

    Kuna maswali ya kujiuliza juu ya mahijiano haya kuhusu magufuri

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Жыл бұрын

    Hawa wote ni kitu kimoja na kikwete Samia ndo maana anampondea marehem

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Жыл бұрын

    Yani ulivyo mkachifu nyerere na magufuri hapo ndio nikaona wewe sio mchungaji laana wewe

  • @wadeelegbogun3015

    @wadeelegbogun3015

    Жыл бұрын

    Kweli kabisa, walimchukia nyerere +jpm bila sababu mmmh, ni laana.

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 Жыл бұрын

    Hivi Royal tour ilikua na maana gani na imeleta faida ipi nchini,au ndiyo ilikua ni mbinu ya kuteketeza hela ya Taifa?

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 Жыл бұрын

    Trade balance = balance of trade !

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Жыл бұрын

    Acheni unafiki, kn kuchukua bahasha za kaki.

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 Жыл бұрын

    Tutaendelea kumkumbuka JPM. Tatizo lenu mlimchukia bila kujuwa vya ndani.

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Жыл бұрын

    Huna uchungaji wowote ni Malaya TU wa kawaida mpuuzi we

  • @muhungamasengo9691
    @muhungamasengo9691 Жыл бұрын

    Magufuli alikuwa mzalendo wasihasa ss tupohuku ila magu kaweka vijana wazeeee pumzika

  • @muhungamasengo9691
    @muhungamasengo9691 Жыл бұрын

    Alikuwa nawahonyo kuhusu corona leho ipo? Fitina tu afrika shida leohihi jembe letu angekuwa amesha fanya msako mzalendo wakweli magu nyerere b

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Жыл бұрын

    Mama samia mteue huyu mtu umleta dodoma awe mkuu wa mkoa dodoma au manyara.huyu jamaa ni jembe kwenye maendeleo

  • @shinipapaya846

    @shinipapaya846

    Жыл бұрын

    Huna akili hata chembe yaani zuzu kabisaa 🤣🤣

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Жыл бұрын

    Huyu jamaa anastahili kuwa mkuregenzi au mkuu wa mkoa.huyu jembe

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 Жыл бұрын

    Ilikua interview nzuri sana

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 Жыл бұрын

    Wewe Ni mchungaji Mungu anakuona mpuuzi Sana mchungaji msingiziaji

  • @hendrycomonsiwenga1128

    @hendrycomonsiwenga1128

    Жыл бұрын

    Amekusingizia nini? @Beatrice Henry

  • @csato9415

    @csato9415

    Жыл бұрын

    🧠🧠🍼🍼

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Жыл бұрын

    Huyu jamaa anastahili kuwa mkuregenzi au mkuu wa mkoa.huyu jembe

  • @shinipapaya846

    @shinipapaya846

    Жыл бұрын

    Labda kwenye matako ya mama.....yako

  • @jumanesaidi7635

    @jumanesaidi7635

    Жыл бұрын

    @@shinipapaya846 Busaraa, ni kushauri kwa hoja, Sio matusi.

  • @MuneneKinyua
    @MuneneKinyua Жыл бұрын

    Magufuli alikuwa mtu muovu katili sana

  • @shinipapaya846

    @shinipapaya846

    Жыл бұрын

    Kuma sana ww

  • @lilykarim8968

    @lilykarim8968

    Жыл бұрын

    Bora umemsaidia huyo kibaka habari anayo