Bwana Yesu ni tegemeo langu - Joseph Nyuki

Музыка

Ninamshukuru Mungu kwa ajili ya wimbo huu, kwa hakika watu wengi wamenifahamu kupitia wimbo huu, Mungu ameinua maisha ya watu wengi na amebadili historia ya maisha ya wengi kupitia wimbo huu. Acha awe tegemeo lako na wewe ili uwe na uzima wa milele, Amen.
JOSEPH NYUKI (+255745 161619)

Пікірлер: 35

  • @happyagusitino8109
    @happyagusitino81093 күн бұрын

    An nmefurah kwel kwel kusikia hii nyimbo, barikiwa sana mtumish

  • @vailethbenjamin7489
    @vailethbenjamin74893 ай бұрын

    Huonekani tena jmn kaka nyuki

  • @user-gd1vx9pl5z
    @user-gd1vx9pl5z3 ай бұрын

    Ubarikiwe Kwa jasho Hilo lisipotee buree babaaa 🎉

  • @young_brother27
    @young_brother275 ай бұрын

    Asante sana huu wimbo mwaka wa tatu sasa nautafuta lakini leo nimeupata

  • @ManotiMabanza
    @ManotiMabanza3 ай бұрын

    Wimbo. Unanitoa machoz. Nikisha marza kulia. Na Anza kucheza. Mungu. Yupo simama nae kwer

  • @AbrahamChileshe-ll5oz
    @AbrahamChileshe-ll5oz5 ай бұрын

    Thanks so much for this powerful encaregement God continue to bless you in the name of our Lord Jesus Christ 💙☝️☝️

  • @msaniiezekielkamoyani
    @msaniiezekielkamoyani Жыл бұрын

    Nice song msanii mwenzangu nyuki 🐝

  • @Muzafamilly
    @Muzafamilly Жыл бұрын

    Daaah hii inanikumbusha mbali sana ubalikiwe Joseph nyuki

  • @lizahchitalo3145
    @lizahchitalo3145 Жыл бұрын

    My favorite songs may GOD bless you

  • @leonardkainga2295
    @leonardkainga229510 ай бұрын

    Hii nyuki iko na asali kweli kweli

  • @josephnyuki

    @josephnyuki

    10 ай бұрын

    Barikiea rafikii

  • @josephnyuki

    @josephnyuki

    10 ай бұрын

    Barikiwa

  • @AbrahamChileshe-ll5oz
    @AbrahamChileshe-ll5oz9 ай бұрын

    I love this powerful spng

  • @user-sc7wt8qb3o
    @user-sc7wt8qb3o10 ай бұрын

    good song

  • @MARCUSF.GARCIA-yt1ep
    @MARCUSF.GARCIA-yt1ep9 күн бұрын

    Niceeeeee

  • @alicenjuguna3gmailwanjugun397
    @alicenjuguna3gmailwanjugun3972 жыл бұрын

    Wow wonderful 🙄🔥🔥

  • @masterkeymwakalanje536
    @masterkeymwakalanje5362 жыл бұрын

    Pamoja xana

  • @AmosNicas
    @AmosNicas10 ай бұрын

    Crusic

  • @AbrahamChileshe-ll5oz
    @AbrahamChileshe-ll5oz5 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 Жыл бұрын

    Ameni balikiwa pia mtumishi wa Mungu

  • @benedictlukas5387
    @benedictlukas5387 Жыл бұрын

    Hongera uko vzr

  • @lewis_m3613
    @lewis_m36132 жыл бұрын

    This song🔥😎

  • @dicksonmlelwa1762
    @dicksonmlelwa1762 Жыл бұрын

    Nakukumbuka nikiwa std4

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa2962 жыл бұрын

    Nice

  • @pascalngenzirabona5436
    @pascalngenzirabona54362 жыл бұрын

    Hi love your songs

  • @shidangholoyape3202
    @shidangholoyape3202 Жыл бұрын

    Wimbo huu unanikumbusha mengi kipindi nikiwa form two

  • @kakumukishamoses1089
    @kakumukishamoses1089 Жыл бұрын

    N ukweli kabisa.

  • @pauline5753
    @pauline5753 Жыл бұрын

    💯💯💯

  • @fraviansweetbert2703
    @fraviansweetbert2703 Жыл бұрын

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @masterkeymwakalanje536
    @masterkeymwakalanje5362 жыл бұрын

    Asante

  • @josephnyuki

    @josephnyuki

    2 жыл бұрын

    barikiwa saaana watumish

  • @gracemutune7732

    @gracemutune7732

    2 жыл бұрын

    Nice song. May our good Lord continue showering u with blessings.

  • @MamaMkwe2023

    @MamaMkwe2023

    9 ай бұрын

    Nimekumbuka mbari sana

  • @MamaMkwe2023

    @MamaMkwe2023

    9 ай бұрын

    Asateni

  • @petermangari2495

    @petermangari2495

    6 ай бұрын

    poa

Келесі