Buki - Jana (Official Music Video)
Музыка
#jana #Buki #hitsong
Produced by Morebeatz & GopaBeatz
For Bookings:
Contacts -- bukimanagement@gmail.com
mailtevinci@gmail.com
Connect With Buki On:
Instagram: / buki_tz
Lyrics:
Nimefunzwa na ngariba
Nguzo ya mapenzi tabasamu
Njoo nikupe kauli za Huba
Za pwani mimi mzaramu
Nimeumbiwa mahaba
Kucheat cheat Haramu
Kwenye mali mahamuma
Ila mapenzi imamu
Kama unanipenda
Ninunulie zeze aaah
Nikilala kitandani Aah
Zeze lanibembeleza
Kama unanipenda
Simama tucheze aah
Wendo wangu wahubani aaah
Pendo limenilegeza aaaanha
Jana nililala nikakuota Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi mpenzi utaniumiza
Jana nililala nikakuota
Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza
I love you Nyang’anyang’a X2
Bora nitoke machozi
Nikiwa kando yako
Kuliko nienjoy mimi
Mbali nawe
Bora hata ukonde mwili
Nikiwa kando yako
Kuliko ninawiri mimi
Mbali nawe
Uuuuuuh uuh
Raja ko Rani se pyaar Ho Gaya(राजा को रानी से प्रेम हो गया)
Uuuuuuh uuuh
Mseme musiseme nimezamia
Aaaah aaah
Lalalilalilalah siwezi ongea
Haya kwangu ni mapya
Kanipania
Kama unanipenda aaah ninunulie zeze aanha
Nikilala kitandani
Zeze lanibembeleza
Kama unanipenda
Simama tucheze
We ndo wahubani
Pendo limenilegeza
Jana nililala
Nikakuota nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza Uuuuuh
jana nililala
Nikakuota Nikakuwaza
Kwa yako mapenzi
Mpenzi utaniumiza
I love you
Nyang’anyang’a X2
Пікірлер: 140
Nawashukuru sana kwa support yenu!🙏 Usisahau kuLike, Comment, Subscribe na kushare. Follow me on Instagram instagram.com/buki_tz?igsh=MThvYW9kaGQ4emtydQ== Tiktok www.tiktok.com/@buki_tz?_t=8nDlB9Df2Q9&_r=1
@calvintheone299
Ай бұрын
Tunataka video ya nampenda tafadhali sana buki
@Prd_mysterious
Ай бұрын
saw kaza Sasa Kaz nzuri
@mahlulahalkhallasy-ul2lr
Ай бұрын
U killed it blood🔥🔥🔥
@user-ys7pl5ri3y
Ай бұрын
U nailed it broo🥳👏 mungu akuzidishie kipaji chako 🥰😘👌🙏
@geoffreyembasa8483
27 күн бұрын
Pastor wa Nairobi but for sure nimekubali mashairi and the way unaunganisha both old and new flavours🎉🎉
Kama uliiangalia zaidi ya mala tatu nipe like plz❤❤❤❤
Buki nakukubali san tena sanaaaaaaaaa Yani nakupend had naumwaaaaaa
Bora ata mondi angemsign Buki kuliko yule jamaa wa singeli😂
Shida ya Bongo bn bc watakuwa busy tu kusoma comment yang badala ya kucomment zakwako . Any way congratulations buki video iko pow tunaweza ata kuangaliaa na wazee watu tuko pamoja 🎉
So nice wallah amejistiri madam na bado yuaonekana poa kumbe ata c lazma kina dada tuonyeshe maungo tunapotoa clip aki mashallah big up nmekupenda sana dadaaa kwa 🫡 kwa mavazi mazuri ❤
I love all your music 🎉🎉🎉🎉am waiting for a new one
Kuimba boss upo sawa utafika tu buki Inshallah yr fam kutoka Zanzibar
Kaz nzur sana 👏👏👏👏
You made it my favorite song, good luck to you 🫶🏼
Mwanangu sana buki Tukukutana studio
you know a song is good when it makes a grown man cry....... this is beautiful......100%
🔥🔥🔥 Keep it up bro
Ngoma kali sanaaa. Atimae mtoto mzuri kanunua zeze
Nilisubilia Kwa hamu sana mwanangu hii ngoma ila umeuaaa sana yaan dah mpaka inalizaaa by Rashy Boy
I can't hear anything from this language but I love Tanzania songs so much.i wish to visit this country one day
Umetisha Buki your.so talented
Wimbo n yauzuni sana
Unajua bro
Oya mwamba umeuwa yani mpaka nalia na huu wimbo
Ngoma Tamu sana
Wakati wako ndio huu Buki acha ngojangoja utapitwa race
Goma kali sana hili
Oyaaaa bonge moja ya ngoma🙌🙌🙌🙌🙌 nimeona kipande kwenye status ya mtu
My number one love song✌️
Unajuwa tena unajuwa sanaaa MashaAllah ❤❤❤All the way from SA🇿🇦
Mashaallah kivazi napenda pia cha mwanamke ❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥
Buki Unajua sana yani huna baya bro 🫡🔥🔥🔥
Upo vzr big up sanaaa
Vraiment iZi ndo song kabisa nakubali kutoka kongo
Good job video queen mzuri NYIMBO NZURI SANA MashAllah. FROM Da Joy
Video haichoshi kuiangalia keep it up broh
Nawapenda sana nyie 💯💯💯💯💯
Nyimbo nzuri balaaa umetisha bro 👏👏
ngoma kali
Unajua bro na umeutangaza uislam mungu Akufikishe mbali
@dullamuwise4802
18 күн бұрын
Uislamu gn alio utangaza hebu stuka kijana uyu kauzalilisha uislamu haifait kuionesh vitndo vya swala alafu unaimba Astakhafillah
Fundi kama fund
Hatari Buki❤
Mii hoiii🥵🥵🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Video kari sana hasa mavazi Maashaallah
Nakukubaly sana buki ❤❤❤❤ love you
Iko Njema 🌹✍️😍
Buki unajua utafika mbali kaza
Hatariii buki
it's good art kaka hongera San kak
Kali ya mwaka MashaAllah bro
Sema jeroo
Kazi mnzuri
Nimekubali
Big up kaka , kazi nzuri
best song of the year
❤❤❤❤
Yote Tisa kumi kademu Kako kanajua kudeka mpaka nakuonea wivu
Big step.💪
🎉🎉nouma mzee
❤
video kaliii
Buki, umeua
Nzur
𝑴𝒂𝒌𝒐𝒇𝒊 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒕𝒖 𝒌𝒘𝒂 𝑫𝒊𝒓𝒆𝒄𝒕𝒆𝒓
This man🙌
Bukiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Waoooooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Buki haujawai kutuangusha
Mbona kali sana
Bless u💥
Lest goo🔥🔥
Buki 🔥🔥
You kill it 👏
KAZI SAFI
noma sana buki
Kama mnamsikia Alikiba kama Mimi Gusa Like
Kali sana
Nice work 👌 but naomba support yako
Love music 🎶
Mashallah
❤️❤️😍😍
Epic
🔥🙌
Fnd
Natamani ni fanya Remix na ww...
🔥🔥🔥🔥
Fundi 🎶
Buki buki buki
Kipaji
🎉🎉
❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nc
Ajay Devgan
TUNATAKA VIDEO YA NAMPENDA TAFADHALI BUKI
Video vexen nae ni pis
Hio ni Violin inachezwa kama guitar ?
Jay Melody amepata compe saa hii😂😂😂😂😂