Bintiye Francis Ogolla aeleza jinsi babake alivyopenda familia na masomo

Ni hotuba ya rambirambi iliyomulika maisha ya Mkuu wa majeshi nchini kama Baba aliyetunza vyema familia na aliyependa masomo. Bintiye marehemu Jenerali Francis Ogolla, Lorna Achieng' akikiri kuwa maisha ya babake ndiyo yaliyomsukuma kutafuta elimu na kuhitimu na shahaba kadhaa kutoka vyuo vikuu vya kimataifa.

Пікірлер: 2

  • @bowattanga
    @bowattangaАй бұрын

    MOVING TRIBUTE BY THE DAUGHTER

  • @simonlekite
    @simonlekiteАй бұрын

    moviss