BEFORE I FINISH PAYING MY PLOT I WAS DEPORTED WITH NOTHING,

Пікірлер: 91

  • @mwangi_kriss
    @mwangi_kriss2 ай бұрын

    +254759070291 you can reach her and get more info ..

  • @margaretmueni2305
    @margaretmueni23052 ай бұрын

    Mwangi mwambie auze moja ajenge hio ingine ni mama Ako na bidii sana😢😢😢

  • @WonderfulSeagull-lg1tz
    @WonderfulSeagull-lg1tz2 ай бұрын

    Mwangi ambia huyu Mama awachane na Story za Canada, better auze moja ajenge na pesa ingine afanye biashara,atulie Kenya

  • @trizaharujaru8551
    @trizaharujaru85512 ай бұрын

    Nilikaa depotition 2months wee story za saudi wacha tu..nitaadika kitabu now im recovering my lose in iraq.so far so good mungu ni mwaminifu

  • @supu1237
    @supu12372 ай бұрын

    Mwangi kindly advise our mother to go take loan Kwa bank na hiyo tittle d then ajenge kanyumba na pesa kidogo afungue biashara ijilipe. My thoughts

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    😂😂😂Bila pesa Mzee akakuruka woooi Mungu wangu

  • @annemuthoni1781
    @annemuthoni17812 ай бұрын

    May God order your steps mamaa,may He light all your ways 🙏. Pray, pray and pray for divine direction🥰

  • @Godsfavourite.1507
    @Godsfavourite.15072 ай бұрын

    Huyu mama akue careful coz ataconiwa Kwanza hiyo title anapea watu itafanywa Ile kitu Kenya yetu ni ya wezi

  • @nancywanjirokimani
    @nancywanjirokimani2 ай бұрын

    She needs advice, twice na bado anataka aende tena , wisdom is power, may God give her wisdom.

  • @user-vt6xm3dy8c
    @user-vt6xm3dy8cАй бұрын

    Wooiye mungu asaidia huyu mama asiuze izo plot😢😢

  • @user-tx1so1rl1k
    @user-tx1so1rl1k2 ай бұрын

    Mwangi ulisikiaje 😂 iyo mawazo ya Canada uyo mama awachane nayo auze ajenge balance afungue bizna alee watoi wake

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Mzee alichezwa akawachiwa mtoto 😂😂😂

  • @ruthee1895
    @ruthee18952 ай бұрын

    Kuna mashetani za levels,they prevent people from going to another level, ametoka kwa Jamii maskini so hizo nguvu hazitamwacha tu hivyo,huyu mama anahitaji maombi yakuvunja madhabau

  • @user-xf6kf8vh9w
    @user-xf6kf8vh9w2 ай бұрын

    Auze the expensive one ajenge hiyo ingine then start a small business.. I wish it's mine

  • @rosalinemwariri9000
    @rosalinemwariri90002 ай бұрын

    Mama, mbona usiuze plot moja ujenge kwa hiyo ingine, acha kufikiria mambo ya kwenda job country ingine. Alternatively, uza uweke business. Once bitten twice shy.

  • @wanjirundirangu5560
    @wanjirundirangu55602 ай бұрын

    This lady can just do a small business, and start building slowly. You already have what many people are looking for. Someone advice her before the plots are gone.

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209Ай бұрын

    This woman needs an advisor, mwangi advice her na umsaidie kama inawezikana auze moja ajenge nayo ingine alafu afungue biashara ...ako lucky hakuoshwa mambo na shamba

  • @wiliminaboke4397
    @wiliminaboke43972 ай бұрын

    Plz Mr mwangi we trust u just advice mummy afanya business na ajenge👏👏👏

  • @fredmoranga2439
    @fredmoranga24392 ай бұрын

    Mum is hard working, kuwa na plot hiyo ni investment kubwa maybe auze one plot ajenge and aanze biashara, mwangi mtafutie mtu ampe advice

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    The reason I fear to kemboi juu ya my age ata ukirudi Kenya huwezi pata job na miaka over 45

  • @gracewambui5564

    @gracewambui5564

    Ай бұрын

    True.. The best thing to do ni ungangane ubuy kaplot ujenge ukirudi unarudi kwako hata ukilala njaa hakuna mtu atajua au atakusumbua na rent. Am 35 also in gulf na sirudi kurent mimi

  • @sarahngugi2779

    @sarahngugi2779

    Ай бұрын

    @@gracewambui5564 insallah jitahidi unaweza Bora ikae kwa contract usitoke inje

  • @kiambu_Finnest
    @kiambu_FinnestАй бұрын

    If i was this woman,ningeenda gulf tena nijenge one of the plots

  • @wilckiessagini1793
    @wilckiessagini17932 ай бұрын

    Si afanyiwe kamchango aky huyo mama ajengewe ..Ni mama anajipigania sana

  • @linetkhavugwi209

    @linetkhavugwi209

    Ай бұрын

    Hakuna wewe ..auze moja ajenge ingine ..adaidiwe tu kupata mtu wakuinunua

  • @TabithaKimani-ur3hg
    @TabithaKimani-ur3hg2 ай бұрын

    Woiiiiii hizo story za Canada wacha kabisa kitakuramba,,

  • @philicemaradi
    @philicemaradiАй бұрын

    55yrs na Bado unataka kuenda Canada 😮😮Btr uuze iyo shamba na iyo Doo ujenge Kwa shamba itabaki na ufungue biashara lakini Canada utapigwa mwosho kisawasawa

  • @annestaciahwangui
    @annestaciahwangui2 ай бұрын

    Aki Mwangi avoid kuliza maswali mtu ameshakwambia, sometimes hukuwangi keen 😂nways am you number one fun.. Huyu akienda canada kitamramba,i wish she can come back Saudi juu ako na bahati mzuri sana ya kukutana na good families

  • @rachealwanjiru2326

    @rachealwanjiru2326

    2 ай бұрын

    At 55 yrs

  • @annestaciahwangui

    @annestaciahwangui

    2 ай бұрын

    @@rachealwanjiru2326 ghai ako that age,wee hapo Ni ngori wacha tu auze moja ajenge ingine

  • @irentirop6304
    @irentirop63042 ай бұрын

    Please advice her asiuzee saii haki please please ayuko sawa uyu mama ako na a lot in her mind 😢😢😢😢😢

  • @salmamohamed909
    @salmamohamed909Ай бұрын

    Huyu mama anahuruja pesa zake anyhow 😢sasa canada alidaganywa na nani ni 500k ataibiwa ajiue cha ukweli

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775Ай бұрын

    Huyu mama mjinga, si badala auze moja na ajenge moja na aishi na anze biashara,,

  • @philicemaradi

    @philicemaradi

    Ай бұрын

    Imagine aty anataka kubuy job Canada 500000😮Ako confused element

  • @marykamau4447
    @marykamau4447Ай бұрын

    Be careful kuna mama mwingine alioshwa 600k ati ataenda London

  • @user-vp4kn5kr9w
    @user-vp4kn5kr9wАй бұрын

    Mwangi help this mom pliz

  • @sarahruth1718
    @sarahruth171817 күн бұрын

    Is mwangi laughing with her or at her, am sorry am also😅😅😅

  • @user-kn5iq8oh5m
    @user-kn5iq8oh5m2 ай бұрын

    Mzee wako alikulaani juu ya kichwa yako ngumu

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Four years ulikuwa umejaribu mama two plots Mungu akutumie wa kununua hio plot moja ujipange na hizo pesa

  • @nashnene6326
    @nashnene63262 ай бұрын

    Tamaa ya kukemboi

  • @annestaciahwangui

    @annestaciahwangui

    2 ай бұрын

    Uzuri ako na passport yake

  • @Happiness-zm8pb
    @Happiness-zm8pbАй бұрын

    This mom is wise

  • @emilywangui
    @emilywangui2 ай бұрын

    Kama ni AMG hiyo ni legit ,team strong 💪 hatuwezi regret kuja hii gulf aki ,mum hii mambo ya Canada ni scam hao ndio wezi wataiba pesa zako na mshide kesi kortini mpaka uchoke ,invest na hiyo pesa ,unajenga mos mos pale longonot mpaka umalize

  • @annestaciahwangui

    @annestaciahwangui

    2 ай бұрын

    Ama arudi Saudi

  • @florankuene2519
    @florankuene25192 ай бұрын

    Pia mimi i don't save my money in bank..I buy properties..

  • @mercywamucii752

    @mercywamucii752

    Ай бұрын

    Tuko wengi aki

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Hio plot watu wawili wanaweza shikania wajenge rentals that's the only easiest way juu plot zimekuwa ngali sana

  • @shiksjustin
    @shiksjustin2 ай бұрын

    Ile kitu naeza kwambia be very keen and careful hio plot isiede because unaeza mtu aku confuse

  • @nyarsakwa1492
    @nyarsakwa14922 ай бұрын

    Someone should advice this woman, she has made alot of mistakes, and is about ti make another... Mwangi saidia huyu mathe, hata hiyo shamba itauzwa bila yeye kujua ahangaike zaidi

  • @n.n9307
    @n.n93072 ай бұрын

    Why can't she sell one plot and keep one.

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    I think according to this Mum deportation ni kuzuri kuliko cell Saudi juu wengi wako cell na huwa hawaregeshwi nyumbani

  • @CatherineMwaniki-jw9ni
    @CatherineMwaniki-jw9ni2 ай бұрын

    Rudi Saudi mama ujenge ata kama ni ya mabatikuliko kuuza

  • @user-kn5iq8oh5m
    @user-kn5iq8oh5m2 ай бұрын

    Wewe mama wacha kichwa ngumu kuzurura😂😂😂😂 Tena Canada 😂😂😂 Na hauja faulu😂😂😂. I have two friends that paid 500 000 and they never went, waliibiwa completely,kuoshwa kuoshwa

  • @miriamtumbo6222
    @miriamtumbo62222 ай бұрын

    Wewe dada uza plot moja ujenge hiyo nyingine mambo ya Canada wachana nayo waizi ni wengi.

  • @maximillahbusolo9738

    @maximillahbusolo9738

    2 ай бұрын

    Canada ataoshwa aky

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Si wauze hio plot wakurudishie pesa zako zile uliwapea haki once umepea watu pesa kurudisha ni shida

  • @kwambokasmiles5707
    @kwambokasmiles57072 ай бұрын

    Mwambie arudi Saudi ajenge

  • @user-kn5iq8oh5m
    @user-kn5iq8oh5m2 ай бұрын

    Wakenya vichwa ngumu, unatoroka Na hauja kosewa?

  • @mercywamucii752
    @mercywamucii752Ай бұрын

    Chukua loans kwa bank na hio title

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas98252 ай бұрын

    SOMEONE HAS TO HELP THIS WOMAN.... HIYO ELFU 500 NI PESA MINGI NA VILE NAMUONA AKILI YAKE SIO MZURI.... NI MAMA MJINGA.... AUZE SHAMBA KIDOGO AWEKE MATAKO CHINI SASA AWEKE KAZI.... ATAHANGAIKA HIVI NA APOTEZE KILA KITU ABAKI HAPO AANZE KULIALIA AKIOMBA USAIDIZI..... AWACHE UCHINGA... AKIENDELEA HIVI ATAPOTEZA HATA CHENYE KIMEBAKI....

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    AMG is a legit company

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Canada utalilia Choo wewe wengi wamedaganywa na agents be warned Mama 😢

  • @user-bi2cu4qu6m
    @user-bi2cu4qu6m2 ай бұрын

    Nawadays kila mtu amekuwa agent kupata agency ama agent legit ni nomaaa...

  • @philicemaradi

    @philicemaradi

    Ай бұрын

    Walai uyu atapigwa mwosho mumoja kisawasawa

  • @CatherineMwaniki-jw9ni
    @CatherineMwaniki-jw9ni2 ай бұрын

    Canada kuna baridi sana kuliko saidi

  • @shiksjustin
    @shiksjustin2 ай бұрын

    Kama ali buy na AMG campany bila shaka hio campany ni legit💯💯

  • @shariffaislam889
    @shariffaislam889Ай бұрын

    This lady needs Counselling first then see the way forward with her decision making if she wants to travel back or not or sell the lands or not.

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Na kemboi wako na Doo one year two plots na niza AMG realters Satan is a liar he stole your dreams may God help you Mama

  • @muthoni987
    @muthoni9872 ай бұрын

    Is this the person she is claiming to be????

  • @peresngugi6925
    @peresngugi6925Ай бұрын

    Huyu mum ako na depression, she needs help

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Maraa kuna bisness poa ya ukulima wa nyanya si uende ulime

  • @sarahngugi2779
    @sarahngugi27792 ай бұрын

    Sad story after all that struggle na kupea Mzee shopping anakuruka bila kufikilia Mungu akupe nguvu ya kushinda tena

  • @user-bi2cu4qu6m
    @user-bi2cu4qu6m2 ай бұрын

    For real uyu mama anafaaa kwanza kwenda check up she's not okay ..500k si aweke job awachane na story ya travel tena...mimi nijikute nikipatiana 500k eti ni kutravel na travel siwezi ata nadawa

  • @gracewambui5564

    @gracewambui5564

    Ай бұрын

    Haki huyu hayuko sawa kichwa.. Si hata hio 800k ajenge nyumba ya room moja na afuge kuku na mbuzi na kabiashara kidogo

  • @user-bi2cu4qu6m

    @user-bi2cu4qu6m

    Ай бұрын

    @@gracewambui5564 lemme tell you mimi ata hii pesa ya commision nasikianga watu wanatowanga 150k nasikianga kupatiana natokwa na wazimu😂😂

  • @moureenwanjiru4981
    @moureenwanjiru49812 ай бұрын

    Mama Rudi Saudi ni 2 years utajenga usiuze plot

  • @annemuthoni1781

    @annemuthoni1781

    2 ай бұрын

    @55 ni hard

  • @susanalar
    @susanalar2 ай бұрын

    Mtu anaeza pata tittle deed kama hayuko kenyan na haja sign any documents? Just asking

  • @jacklinekanini1213

    @jacklinekanini1213

    2 ай бұрын

    Uwezi

  • @josephineaumamuhola1798

    @josephineaumamuhola1798

    Ай бұрын

    Title deed ni wewe ndio sign.

  • @marykamau4447

    @marykamau4447

    Ай бұрын

    Yes it's possible title yangu nilituma my son and my mum walipewa coz walikua na ID yangu

  • @susanalar

    @susanalar

    Ай бұрын

    @marykamau4447 thanks sana

  • @dicksonkariukimurathe9990
    @dicksonkariukimurathe99902 ай бұрын

    Kris unasema ati hujui AMG? Please ask Metha ya Kagoni. Every body knows AMG

  • @jacklinekanini1213

    @jacklinekanini1213

    2 ай бұрын

    Ata mi sijui

  • @user-no7xk3mr8h
    @user-no7xk3mr8hАй бұрын

    Amg ni genuine

  • @WonderfulSeagull-lg1tz
    @WonderfulSeagull-lg1tz2 ай бұрын

    Mwangi ambia huyu Mama awachane na Story za Canada, better auze moja ajenge na pesa ingine afanye biashara,atulie Kenya

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi82132 ай бұрын

    Ambia uyo madam aache kufikiria juu ya kuenda canada pesa yake itaenda yote bora auze ya malaa ajenge nyumba Naivaisha.Ataibiwa achunge sana akijue kulia tena.

  • @user-vs7pi5rb7x

    @user-vs7pi5rb7x

    2 ай бұрын

    Lizz kamunge ana mngonjea ataoshwa vilivyo.

  • @annestaciahwangui

    @annestaciahwangui

    2 ай бұрын

    I agree hata better arudi saudi tu

Келесі