Alhamis ndio siku Bora ya Kusafiri - Sheikh Othman Maalim

Wanadamu hapa Duniani tuna safari mbili,Moja: ni Safari fupi za hapa Duniani ambazo huwa tunazifanya kila uchao na Pili ni Safari ndefu ambayo tukienda huwa haturudi(Kifo) Safari zote hizi zina miongozo yake kutoka kwa Mtume Muhammad (s.w). Sheikh Othman Maalim anaeleza miongozo ya Mtume (s.w) juu ya safari hizi mbili.

Пікірлер: 34

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt2 ай бұрын

    Allau akbar allah akupe pepo shekhe kwa kutuelimisha vyema yarabi❤

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan24998 ай бұрын

    Shukran sana kipenzi chetu, shekhe Othman Maalim Allah akulipe Jannah firdausi Allahumma Ameen Yarabb 🙏

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania49122 жыл бұрын

    Mashallah Allah azidi kukupa subra katika kipindi hiki,maana kufiliwa na mzazi si jambo jepesi, MUNGU ampe kauli thabiti mzee wetu Allahumma ighfirlahu warhamhuu waskanhuu fii janna 😭👏 na Allah akuhifadhi na akulinde sheikhe wetu Othman maalim jazzakum llahu kheri 👏

  • @adnanadnan970
    @adnanadnan970 Жыл бұрын

    Masha allah

  • @abdurahmaniharunaramazani6878
    @abdurahmaniharunaramazani6878 Жыл бұрын

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh Allah akujalie afia njema nitakuonaje sheikh mpezi yaani kwa ajili ya Allah nimekupenda saaaaaaana ni kijana Haruna toka Congo.

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt2 ай бұрын

    Allahu akbar allah tusamehe na utulinde yarabi

  • @habibahusein3883
    @habibahusein3883 Жыл бұрын

    Jazaqallah shekh wetu Allah akupe umri mrefu wenye baraka tele

  • @mariamhassan3540
    @mariamhassan35409 ай бұрын

    MashaAllah, mawaidha mazuri

  • @abdulaugustinho972
    @abdulaugustinho972 Жыл бұрын

    Mashallah mwenhez mungu atujalie atufanyie wepesi Inshaa llah

  • @firdauswangu716
    @firdauswangu716 Жыл бұрын

    Allah am rehemu Baba yako na waslamu wengine wote walio tangulia mbele ya haki

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 Жыл бұрын

    Ma Sha Allah

  • @ashashaban6484
    @ashashaban64842 жыл бұрын

    Mashallah Allah akulipe kila la kheri inshallah

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 Жыл бұрын

    Mashallah Sheikh

  • @halfanyahaya7945
    @halfanyahaya7945 Жыл бұрын

    Mashallah mawaidha yenye mafundisho makubwa sana Allah akujalie siha njema

  • @mifunga3414
    @mifunga34144 ай бұрын

    Sukran

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt2 ай бұрын

    Aaamiiini❤❤❤

  • @salimmnyeto2023
    @salimmnyeto2023 Жыл бұрын

    Mashallah. Ustadh napenda mawaidha yako .mola akuzidishie amin

  • @fahimamghallu7651
    @fahimamghallu76512 жыл бұрын

    MashaAllah sheikh,mola akuoe Kula la kheir

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan17762 жыл бұрын

    Masha allah masha allah masha allah barraka allahu feek sheikh wetu wajazzak allahu min kully kher yaarab

  • @sadiahassan5316
    @sadiahassan53162 жыл бұрын

    Ma shaa Allah Allah akulinde na akuongoze uendelee kutuongoza

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 Жыл бұрын

    Mashaa'Allah Jazzakumllah Khery

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt2 ай бұрын

    Aaamiiin

  • @mussafrancophonetours1356
    @mussafrancophonetours13562 жыл бұрын

    Mungu atuongoee inshallah

  • @jaz9974
    @jaz99742 жыл бұрын

    Mashaallah shekh othman

  • @arafatdua166
    @arafatdua1662 жыл бұрын

    Asante kwa mafundisho mazur

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi22879 ай бұрын

    Yarabi uongoze waja wako katika fifua vyetu ili tukutaje wewe kila wakati ili tuipate furaka

  • @adamgobeka5664
    @adamgobeka5664 Жыл бұрын

    Mashaallah

  • @asfyoo5405
    @asfyoo5405 Жыл бұрын

    Mashaa allah 🥰🥰🥰🤲🤲🤲

  • @arasanaamour503
    @arasanaamour503 Жыл бұрын

    Mashallah

  • @ahz6907
    @ahz6907 Жыл бұрын

    Jazaqallah

  • @najmaahmed8851
    @najmaahmed8851 Жыл бұрын

    plz tuandikie hyo dua😢

  • @samsung005.
    @samsung005.2 жыл бұрын

    ❤❤❤

  • @omarkhamismakame2047
    @omarkhamismakame20472 жыл бұрын

    Habar za jana

  • @mikidadikapinga6388
    @mikidadikapinga6388 Жыл бұрын

    Mashaallah

Келесі